"watuhumiwa" wa kashfa za IPTL na RICHMOND kutoa ushahidi dhidi ya Mramba. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"watuhumiwa" wa kashfa za IPTL na RICHMOND kutoa ushahidi dhidi ya Mramba.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JokaKuu, Sep 23, 2009.

 1. J

  JokaKuu Platinum Member

  #1
  Sep 23, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,769
  Likes Received: 4,983
  Trophy Points: 280
  ..upande wa mashtaka umetoa majina ya wananchi 17 watakaotoa ushahidi dhidi ya Mramba,Yona,na Mgonja.

  ..kati yao yume Maria Kejo ambaye amekuwa akitajwa sana ktk kashfa ya IPTL.

  ..pia yupo Bashiri Mrindoko ambaye aliandikwa vibaya ktk ripoti ya Tume ya Dr.Mwakyembe.

  ..I hope hawa mashahidi hawatavurugwa huko mahakamani kutokana na matatizo yao ya IPTL na RICHMOND.

  NB:

  ..kwa upande mwingine naona kama kesi hii ni ngumu sana kwa wakina Mramba. sitashangaa kama wote watapatikana na hatia.
   
 2. m

  macinkus JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2009
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 260
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33


  hayo maoni yako yangesubiri ushahidi uanze kutolewa mzee

  macinkus
   
 3. J

  JokaKuu Platinum Member

  #3
  Sep 24, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,769
  Likes Received: 4,983
  Trophy Points: 280
  Macinkus,

  ..jamaa wana wakati mgumu kwasababu maamuzi yao hayakushirikisha baraza la mawaziri.
   
 4. A

  AmaniGK JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,101
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mkuu utasubiri sana mpaka hiyo hatia iwakute kesi hizi zimekua designed ili hao wakuu washinde... tusubiri tuone
   
 5. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2009
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,462
  Likes Received: 1,386
  Trophy Points: 280
  hiyo sawa na kesi ya nyani shahidi ngedere, inakuwaje fisadi awe na shahidi fisadi
   
Loading...