WATUHUMIWA katika mauaji ya Swetu Fundikira wahukumiwa kifo (Source: Global Publishers)

Maranzana

Senior Member
Sep 1, 2010
192
97
WATUHUMIWA katika mauaji ya Swetu Fundikira, MTM 1900…

[URL="http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif"]

Marehemu Swetu Fundikira enzi za uhai wake.
Watuhumiwa waliohukumiwa kifo kutokana na mauaji ya Fundikira.
WATUHUMIWA katika mauaji ya Swetu Fundikira, MTM 1900 Sajenti Roda Robert (42) wa kikosi cha JKT - Mbweni na MT 75854 Koplo Ally Ngumbe (37) wa JWTZ-Kunduchi leo wamehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. HABARI NA PICHA ZAIDI KUWAJIA HIVI PUNDE!
[/URL]
 
ina lillah wa inn rajuun.
haki imetendeka.
wanajeshi wetu watalisoma somo la ubabe kwa raia.
 
WATUHUMIWA katika mauaji ya Swetu Fundikira, MTM 1900…

Marehemu Swetu Fundikira enzi za uhai wake.
Watuhumiwa waliohukumiwa kifo kutokana na mauaji ya Fundikira.
WATUHUMIWA katika mauaji ya Swetu Fundikira, MTM 1900 Sajenti Roda Robert (42) wa kikosi cha JKT - Mbweni na MT 75854 Koplo Ally Ngumbe (37) wa JWTZ-Kunduchi leo wamehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. HABARI NA PICHA ZAIDI KUWAJIA HIVI PUNDE!

Duh....!
 
Na hii iwe fundisho kwa wanajeshi wanaopenda kutumia ubabe kunyanyasa civilians. Hii inatokeaga mara nying sana especially barabarani, utakuta wanachukua sheria mikononi kwa kuchapa watu vibao mara nyingine hata Police huchapwa mbele za watu.
wanakera sana.
 
Mtoto wa marehemu Abdallah Fundikila aliyekuwa waziri wakati wa utawala wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,pia alikuwa chief wa mwisho wa kabila la wanyamwezi!

ndio maana kesi imefikia hapa ingekuwa kapuku mie ishaisha zamaniiii
 
Mtoto wa marehemu Abdallah Fundikila aliyekuwa waziri wakati wa utawala wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,pia alikuwa chief wa mwisho wa kabila la wanyamwezi!

Kuna Swetu Fundikira nilikuwa nacheza nae mpira Tabora, alikuwa akisoma Kazima kama sikosei, miaka ya 1982. alikuwa mchezaji mzuri sana. Hivi ndie huyu?
 
Mtoto wa marehemu Abdallah Fundikila aliyekuwa waziri wakati wa utawala wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,pia alikuwa chief wa mwisho wa kabila la wanyamwezi!

nashukuru but usinichoke, tatizo lilikuwa nini na hao askari?
 
Tatizo ni kuwa palitokea mabishano pale Mango Garden, lakini marehemu aliondoka na gari lake nao wakamfuata NA baadae wakalizuia gari lake na kuanza kumpiga shuda ni Beni Kinyai.Baada ya hapo wakamweka kwenye gari lao hadi maeneo ya salender na kuendelea kumpiga.Hao wauaji si mke na mume bali huyo dada ni mke wa mtu alimdanya mumewe ya kuwa yupo shift.
 
Back
Top Bottom