Watuhumiwa ESCROW wajiengue wenyewe - Maria Nyerere

Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
5,836
7,492
watuhumiwa escrow wajiuzulu wenyewe wasingoje kutimuliwa na raisi-mama Maria Nyere-Nipashe leo jumamosi

"Tumeshuhudia mambo yaliyotokea bungeni wananchi wameona ,Nilitegemea waliotajwa wangejitoa wenyewe katika nafasi zao badala ya kusubiria Raisi"alisema Mama Maria Nyerere mjane wa baba wa taifa hayati Julius Kambarage Nyerere.
 
Mama kaongea kwa busara tatizo hao wehu hawawezi kusikiliza huo ushauri
 
watuhumiwa escrow wajiuzulu wenyewe wasingoje kutimuliwa na raisi-mama Maria Nyere-Nipashe leo jumamosi

"Tumeshuhudia mambo yaliyotokea bungeni wananchi wameona ,Nilitegemea waliotajwa wangejitoa wenyewe katika nafasi zao badala ya kusubiria Raisi"alisema Mama Maria Nyerere mjane wa baba wa taifa hayati Julius Kambarage Nyerere.
Watuhumiwa wote wana toka Kaskazini na sehemu kubwa ni Wakulya Mkoa wa Mara Uzao wa BAba wa taifa
 
Wapo wengi tu wengine walitajwa indirect mfano wale wa rumbesa,matenga viroba na sandarus walitajwa kama group hiyo chain ina watu zaidi ya mia mbili hawakugawana kuku ni nyati
 
Hajaona ile picha ya Ruge wa VIP na mkuu wa sirikali iliyowekwa hapa jamvini:confused2: Hang'oki mtu na mkuu yuko kwenye mtihani mkubwa kwani hamna njia ya kuwang'oa kirahisi.

watuhumiwa escrow wajiuzulu wenyewe wasingoje kutimuliwa na raisi-mama Maria Nyere-Nipashe leo jumamosi

"Tumeshuhudia mambo yaliyotokea bungeni wananchi wameona ,Nilitegemea waliotajwa wangejitoa wenyewe katika nafasi zao badala ya kusubiria Raisi"alisema Mama Maria Nyerere mjane wa baba wa taifa hayati Julius Kambarage Nyerere.
 
Aisee!Wanatoka kaskazini na sehemu kubwa ni wakurya kutoka mkoa wa Mara!Wakurya wamehamia kaskazini?????
 
msulibasi nipashe wameona hiyo ndio habari kuu wao na tanzania daima lakini magazeti mengine yooote hayakuona kwa sababu hayataki kumlisha mama Nyerere maneno. Nipashe lazima wamlishe Mama wa watu maneno ili tajiri yao azma yake itimie.. kumbuka huu ni mpambano baina ya tajiri wa ipp na watendaji wa wizara kisa gesi na mafuta..kigezo uzawa....

Back
Top Bottom