Watuhumiwa 15 sugu mbaroni kwa tuhuma mbalimbali za kihalifu katika jiji la Dar es Salaam

hongera kwa jeshi la polisi mkoa wa dsm.

tunaahidi sisi wananchi tutaendelee kuwafichua wahalifu wote.
majambazi, wauza madawa ya kulevya, wezi, vibaka, wabakaji, matapeli, wahamiaji haramu n.k.
kazi iendelee....kwa akili zaidi.
 
Ila huyu wa hati za kusafiria ni Kama huwa anakula nao vile maana haiwezekani mtu akutengenezee alafu na kwenye system isome looh
 
Mpaka wanakuwa watuhumiwa sugu polisi wao walikuwa wapi? Maana yake kuna stage za awali ambapo polisi walipaswa kuwa wamefanya kazi zao mapema kuwahi hawa jamaa wasifikie kiwango cha kuwa sugu
 
Bila hawa dunia haiwezi kwenda....dunia lazima iwe na makashikashi kama haya ili iende.. Safi sana kibosile kwa kusaidia kazi za serikali na kutoa huduma kwa haraka kwa wananchi....bila shaka utumishi wako utakoma kwa muda kabla ya kuendelea tena utakapotutangazia...
 
Kuwa na watu kama hawa duniani nako kuna raha yake aisee, wanasaidia kufanya dunia iende speed, wanatoa msaada sana kwa serikali pale inapokuwa ngumu kuhudumia baadhi ya watu kwa uharaka.... wafanye tu plea-bargain Kibosile arudi uraiani...
 
Hao wengine wanaotusumbua sumbua kwene simu na vimessage, funga kabisa miaka 100 na viboko kila siku...hawa hawana msaada kabisa..
 
Mrangi huyu kibosile alikuwa anatoa kitabu kama uhamiaji au alikuwa anatoa viza ya Tanzania kwa wahamiaji.

Au anatoa gamba na kama unataka viza la greece unamlipa unakuta mkwaju umekamilika wewe unasogea airport unakamata pipa????

Viza la italia alikuwa anatoa na china????
 
Alikuwa anakupa mbinu jinsi yakupata visa anakwambia kuwa ukienda Ubalozi utaulizwa mashwali haya utakuwa kujibu hivi....pia anakutafutia vitu vyote vinavyo takiwa Ubalozin nakama huko unakotaka kwenda huna sehem yakufikia atakutafutia watu wakukupokea...mwisho wasiku ukisha fanikiwa kupata Visa unamlipa nasiyo pesa nyingi .anakuchaji kulingana na hariyako jinsi ilivyo.
 
😂😂Sio pesa nyingi anakuchaji kiasi kidogo tu. Huyu jamaa kama vipi apewe mtaji aendelee kuhudumia watu kizalendo
 
Huyu basi ilitakiwa apewe mtaji kama alikuwa ni msaada namna hiyo. Tungekuwa na viongozi wanaofikiria nje ya box huyu angepewa mpunga na kuwezeshwa zaidi ili asadie wimbi la vijana wanaozagaa mitandaoni wasafiri wakahangaike wapate riziki. Ana akili nyingi huyu kibosile
 
Back
Top Bottom