Bi Tarabushi
Member
- Mar 3, 2008
- 35
- 1
Zaidi ya watu 5000 wamekusanyika na kupigwa picha wakiwa uchi in the name of art and diversity. Kweli dunia iko ukingoni..
hata mie bado nashangaa, lengo ninini hasa ?Lengo lilikuwa ni nini hasa?
hahaaaaa u cant be serious!!! kama Dar hivi watu wajaribu tuone itakuwajehii poa sana....inapendeza zaidi sehemu zenye joto....very nice
hahaaaaa u cant be serious!!! kama Dar hivi watu wajaribu tuone itakuwaje
ulikula ngubiti jana??
I misd u pretty!!
ha ha....am serious...joto linakera sana...mimi siku kama hii ikitokea kama ukisikia nijulishe...nitakuwa wa kwanza kwenda.....I like to be natural
naona na wazee kabisa na mvi zao wapo hapo, sasa dunia ndo inaishia hivyooo
kukaa uchi kunamaliza dunia?