real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
Msemaji wa wizara ya mambo ya ndani wa nchi hiyo, Sediq Sediqi amesema mtu aliyejitolea mhanga alijilipua akiwa kwenye gari.
Shambulio hilo liliilenga ofisi ya timu ya ulinzi inayowalinza viongozi wakubwa wa serikali.Ofisi hiyo ipo chini ya ofisi ya rais ya masuala ya utawala. Kundi la Taliban limekiri kuhusika kwenye tukio hilo.
Rais Mohammad Ashraf Ghani amelaani kutokea kwa shambulio hilo.
“Today’s terrorist attack near Pul-e-Mahmud Khan, #Kabul clearly shows the enemy’s defeat in face-to-face battle with (Afghan National Defence and Security Forces),” alitweet Ghani.