Watu wote mliojiua nikawasema vibaya naomba mnisamehe sana

Life is flying by; don’t go another minute looking at what’s wrong, thinking that you’ve reached your limits. You’re on the launching pad. God is about to do a new thing. You’re about to see His favor in unprecedented ways.

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Kwa hiyo bwana Mayala B umekaa kimya ili iweje, unataka kuleta taharuki mioyoni mwetu.... hebu jitokeze hapa tujue upo nasi.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.

Ndugu zangu naomba kusamehewa sana juu ya ndugu zetu waliojiua ambao mimi nilikuwa nawakejeli sana na kuwaona kama wajinga.

Kumbe walikuwa wako sahihi kabisa.

Kuna mambo magumu sana ambayo wanadamu tunapitia mpaka unabaki unashangaa hakuna hata msaada kutoka popote pale ambao unaweza pata.

Toka unazaliwa unaishi kwenye shida mpaka unakua na mpaka kifo kinakuchukua kwa shida.

Roho yangu inaniuma sana.

Nami naweza tangulia muda wowote.

Nitawaletea kinachoendelea

Asanten

Sent using Jamii Forums mobile app
He! Huyu afatiliwe tusije kujuta tena ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mayala B nakuomba usikate tamaa bro, nakumbuka ulikuja hapa na mawazo mazuri ya kuwekeza Katavi na wengi tulikuunga mkono na mpaka kuwa na mawazo yakujiunga nawe katika kuwekeza kule.
Binafsi nimeanza likizo na nilikuwa na mpango wa jumamosi hii kuja huko kufanya utafiti kwa muda wa wiki mbili ili niingie kikamilifu.

Sasa napita hapa nakutana na hii komenti yako ya kukata tamaa imenihuzunisha kidogo. Men born to fight, to toil, no matter how and what obstacles We are facing. We always don't loose hope until we excell. Despite all circumstances We have to stand-still until kimeeleweka, so Mayala B nakuomba bro, simama, angalia na ujiulize kwanini umezaliwa Mwanaume na pale ulipodondoka simama uanze upya.

Sikilizia hiki kibao cha "Don't worry about me" by Frances
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.

Ndugu zangu naomba kusamehewa sana juu ya ndugu zetu waliojiua ambao mimi nilikuwa nawakejeli sana na kuwaona kama wajinga.

Kumbe walikuwa wako sahihi kabisa.

Kuna mambo magumu sana ambayo wanadamu tunapitia mpaka unabaki unashangaa hakuna hata msaada kutoka popote pale ambao unaweza pata.

Toka unazaliwa unaishi kwenye shida mpaka unakua na mpaka kifo kinakuchukua kwa shida.

Roho yangu inaniuma sana.

Nami naweza tangulia muda wowote.

Nitawaletea kinachoendelea

Asanten

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna shida idumuyo milele dawa ni kushirikisha wengine wakupe uzoefu hakuna shida yeyeto dunia ambayo ni mpya zote ni marudio tu
 
Kuna wapumbavu watakuja kukubeza hawaelewi unachopitia. Depression is real. Mi kuna mtu kila nikitaka kufanya maamuzi magumu yuko nyuma yangu kuniokoa nawaza siku akifa nafkiri ndo utakua mwisho wangu hapa duniani kwenu nyinyi wenye furaha.
Yule mtu aliondoka ukajiua Mpauko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chakujifunza kwa wenye mawazo kama yako ni kujifunza kukubaliana wewe na nafsi yako juu ya jambo/mambo fulani yanayokukabili ktk maisha yako, jifunze kumeza/kukubali kuwa hivyo ndivyo ilivyo au baada ya muda fulani mambo yatabadilika. Kujiua ni kukimbia vita ilihali upo uwanja wa vita na vita haijaonyesha anaeshindwa ni nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom