Watu wote ambao kijijini kwao hakuna umeme wala maji tukutane hapa

Wilaya mpya ya Bumbuli jimbo la January Makamba

Ameahidi barabara kuu kutoka Soni hadi Bumbuli cha ajabu hata alivyokuja kufanya kampeni 2015 alifanya kwa hakutaka kukanyaga tope

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NYUMBA MPYA YA KUPANGA INAPATIKANA DODOMA NZUGUNI

Habari za leo wakuu,
Kwenu watumishi wa umma na wafanyabiashara mnaohamia Dodoma kwa ajili ya majukumu ya ajira na biashara mbalimbali mnaohitaji makazi ninawajulisha kwamba ipo nyumba nzuri SANA pale Nzuguni jirani na Transformer au au inatazamana na kiwanja cha CBE.Umbali toka pale Boda ni 600m.Kwa mawasiliano zaidi mtafute 0629737373.
20211022_183754.jpg
20211022_183820.jpg
20211022_183959.jpg
 
Inatia hasira nchi moja, mnalipa Kodi wote lakini wengine Wana vyote; umeme, maji, barabara, zahanati, shule, kituo Cha polisi lakini wengine hawana vyote hivi.
 
NYUMBA MPYA YA KUPANGA INAPATIKANA DODOMA NZUGUNI

Habari za leo wakuu,
Kwenu watumishi wa umma na wafanyabiashara mnaohamia Dodoma kwa ajili ya majukumu ya ajira na biashara mbalimbali mnaohitaji makazi ninawajulisha kwamba ipo nyumba nzuri SANA pale Nzuguni jirani na Transformer au au inatazamana na kiwanja cha CBE.Umbali toka pale Boda ni 600m.Kwa mawasiliano zaidi mtafute 0629737373. View attachment 2011995View attachment 2011997View attachment 2011998
Nyumba hii haifai kwa familia kwakuwa walemavu, wagonjwa na wazee wenye shida ya miguu hawawezi kuingia na kutoka ndani, ngazi hizo ni taaabu kubwa kwao.
 
Nimefika ndugu zangu. Sijaoga inaenda wiki, inabidi niende baharini kuoga na kutoka baharini mpaka ninapokaa natokwa majasho upya.
 
Kijiji chetu cha Masurula huko musoma,nimeenda mwaka huu mwezi wa tano,nimekuta umeme upo,maji ya kumwaga na lami kama yote.
Shukran kwa serikali ya awamu ya tano chini ya jemedari JPM.
 
Kijiji chetu cha Masurula huko musoma,nimeenda mwaka huu mwezi wa tano,nimekuta umeme upo,maji ya kumwaga na lami kama yote.
Shukran kwa serikali ya awamu ya tano chini ya jemedari JPM.
Mshukuru Mungu kwa kuzaliwa Kanda hiyo. Awamu ya tano Kanda yenu ilikuwa Kanda teule
 
Kuna vijiji ambavyo kumepelekwa umeme, maji na barabara ya lami. Lakini viko vijiji, kata na tarafa ambazo havina vitu hivyo vyote tangu wakati wa mkoloni hadi leo hii pamoja na wananchi wake kulipa kodi mbalimbali. Hebu tuviorodheshe hapa vijiji hivyo ambavyo vinakosa vitu vyote au kimojawapo kati ya barabara, umeme na maji ili wahusika wajue kwamba tunajuwa kuwa tunaonewa.

Mimi ninaifahamu Kata ya Kwankoje na vijiji vyake vyoote kuwa hakuna barabara, umeme wala maji, wewe je?
Vipi office za CCM hawana hapo kijijini?
Tuanze na Hilo mweshimiwa!

Asante!
 
Mmkuuu
Mimi ni.mojawapoo
Hakuna umeme,maji wala mawasiliano ya simu ,yaani tukiwa huko itabidi uagee
Ndugu jamaa na marafiki useme ndugu zangu naingia kijijini, sitopatikanaa
Hivyo ukitaka kunipa habari tuma Meseji saa flani nitaenda mlimani au nitasafiri km kadhaa nikutafute.

Mkuu si Voda ,si airtel ,si Tigo na si Holotel na si TTCL.

NI Wilaya moja inaitwa Monduli huko Arusha
Kuna vijiji ambavyo kumepelekwa umeme, maji na barabara ya lami. Lakini viko vijiji, kata na tarafa ambazo havina vitu hivyo vyote tangu wakati wa mkoloni hadi leo hii pamoja na wananchi wake kulipa kodi mbalimbali. Hebu tuviorodheshe hapa vijiji hivyo ambavyo vinakosa vitu vyote au kimojawapo kati ya barabara, umeme na maji ili wahusika wajue kwamba tunajuwa kuwa tunaonewa.

Mimi ninaifahamu Kata ya Kwankoje na vijiji vyake vyoote kuwa hakuna barabara, umeme wala maji, wewe je?
 
T
Mmkuuu
Mimi ni.mojawapoo
Hakuna umeme,maji wala mawasiliano ya simu ,yaani tukiwa huko itabidi uagee
Ndugu jamaa na marafiki useme ndugu zangu naingia kijijini, sitopatikanaa
Hivyo ukitaka kunipa habari tuma Meseji saa flani nitaenda mlimani au nitasafiri km kadhaa nikutafute.

Mkuu si Voda ,si airtel ,si Tigo na si Holotel na si TTCL.

NI Wilaya moja inaitwa Monduli huko Arusha
TCRA wamekusikia. Yaani tunapojenga meli, kununua ndege, kugenga reli sijui barabara za baharini kumbukeni kuwa Kuna watu hata mawasiliano ya simu ni luxuary kwao.
 
Back
Top Bottom