Watu weusi (wenye asili ya Afrika) niliojifunza kutoka kwao

Katika orodha yako hiyo namba 3 ndiyo mtu sahihi wa kujifunza lakini wengine ni bure kabisa,
Falsafa ya maisha ya mtu aliye huru huanzia kuwa na taasisi iliyofanikiwa na Myles Munroe ni mfano halisi, Hao wengine ni wapiga zumali tu
 
Huyo monroe ana taasisi gani mkuu.I lost the interest of listening black activists, kidogo mimi mwenyewe nigeuke kuwa hao jamaa. Monroe sijawahi mfuatolua hebu nipe falsafa zake kama hutojali.
Pata vitabu vyake au andika jina lake Google utaongozwa kwenye hazina ya maono na fikra zake kwetu na walimwengu kwa ujumla
 
Siku za hivi karibuni, niliamua kuwa na muda wa kujifunza kupitia mtandao wa You Tube. Nimetenga muda na bundle maalum kupata ujuzi kutoka kwa watu ambao naamini wanaweza kunisaidia kujitambua kama kijana Mwafrika.

Ifuatayo ni Orodha:

Prof. PLO Lumumba
Huyu jamaa mara ya kwanza kumsikia ilikuwa kupitia clip ndogo niliyotumiwa WhatsApp. Ni msomi Mwafrika kutoka katika ardhi ya Kenya. Mnyenyekevu, mbobezi katika sheria. Amejaliwa uwezo kwa kujieleza na anaufahamu wa mambo mengi. Prof. PLO Lumumba amenifanya nijivunie kuwa Mwafrika. Amenipa tumaini kuwa ipo siku Afrika itakuwa katika kilele cha mafanikio. Bila shaka viongozi wa Afrika wanamengi ya kujifunza kutoka kwa msomi huyu. God bless Prof. PLO Lumumba.

Joshua Maponga
Hiki ni kichwa hatari sana kwetu sisi Wanamajumui ya Afrika. Ni msomi wa Theolojia wa Solusi University na Andrews University huko Marekani. Huyu jamaa ameniwezesha kutenganisha Ukoloni na dini. Ana speech yake “Decolonizing Religion” ambapo amechambua mengi kuhusu dini na mustakabali wa Mwafrika.

Kwa sababu ya tamaduni za kikoloni kufungamana na dini kwa Wakristo na Waislamu, imewafanya baadhi ya Waafrika wasimuamini Mungu muumba wa mbingu na nchi. Ndio maana wakina Yericko Nyerere na Kiranga wanajinasibu humu ndani na ibada za miungu.

Ukimsikiliza msomi huyu, utagundua Afrika ametofautisha ibada kwa Mungu na tamaduni za kikoloni, hivyo kuifanya ibada ya Mwafrika kuwa sahihi machoni pa Muumba.

Myles Monroe
Huyu ni Mchungaji kutoka visiwa vya Bahama. Ni Motivational Speaker mzuri sana. Ukimsikiliza hutabaki kama ulivyo. Anaongelea maisha katika uhalisia wake. Nilihuzunika kusikia alishafariki.

Niongezeeni orodha ya wadau wenye speech nzuri za kumkomboa kimawazo kijana wa kiafrika huko Youtube.

Nawasilisha
Huyuhuyu Lumumba mfuasi wa Magufuli?🙄😏🤔
 
Huyo Myles Munroe niliwahi kuwasiliana naye kwa barua. Barua aliyonitumia nimeitunza hadi leo. Inanitia moyo, inajenga na inanifanya nione fahari kuwa Mwafrika na kumshukuru Mungu. Kama kufiwa kunauma sana, basi mimi niliumia zaidi - nilifiwa na Myles Munroe!
MKuu Huyu ndugu ndo nimeanza Kumsoma Aisee Alikuwa Mtu kweli... Nimejikuta najuta Kwa Nini sikumsikiliza Akiwa Hai.. Lakini Yupo hai Maandishi na Mafunzo Yake Yanaishi... Nimejifunza Kuacha Alama Duniani Ili uendelee Kuishi hata kama Mwili Utakuwa umekufa
 
Vitabu vyake ninavyo karibu vyote! Understanding Your Potential, Releasing Your Potential, Maximising Your Potential ... Becoming a Leader ... nk. Bado anaishi nasi kupitia fikra zake pevu katika maandishi!
 
Hapo ntakupinga kidogo. Mtu mmoja hawezi badilisha taasisi, hilo wazo waafrika inabidi tiliache kabisa. Watu ndio wanaobadilisha taasisi na si mtu, kuendelea kuamini mtu ndie anaebadili taasisi tutasubiri sana.
Ntakuelewa sana iwapo utasema ameshindwa kubadili mindset za watu, watu wakishabadirika mindset then automatically taasidi inabadirika.
I think we have to learn how to change the mindset of people not institution.
Rejea suala la machinga, utaelewa nini maana ya kubadili mindset na si taasisi.
Unanipinga, wapi nimeandika mtu mmoja anaweza badilisha taasisi? Nimeandika hakuna kilichofanyika kwa maana ilikuwa ni kuongea tu kila siku. Next time read to understand and not to reply!
 
Huyo Myles Munroe niliwahi kuwasiliana naye kwa barua. Barua aliyonitumia nimeitunza hadi leo. Inanitia moyo, inajenga na inanifanya nione fahari kuwa Mwafrika na kumshukuru Mungu. Kama kufiwa kunauma sana, basi mimi niliumia zaidi - nilifiwa na Myles Munroe!
Mkuu mimi niliumia sana maana kwa umri wake alikuwa amefikia sehemu taamu na kutoa uzoefu mkubwa sana katika maisha yake
 
Huyo monroe ana taasisi gani mkuu.I lost the interest of listening black activists, kidogo mimi mwenyewe nigeuke kuwa hao jamaa. Monroe sijawahi mfuatolua hebu nipe falsafa zake kama hutojali.
Mpaka mauti yanamkuta ameacha vitabu vyake 57, Ameacha Kampuni 5 za kwake, Baadhi ya vitabu vyake ni Release your Potential, Pass it on, Leadership Philosophy, Discovering your Purpose.
Huyu amekufa lakini kwangu mimi bado anaishi maana amenisaidia sana katika maisha yangu baada ya kufuatilia mafundisho yake na kusoma vitabu vyake.
Huwezi kubadilisha maisha ya watu wakati huwezi kuonyesha ulichokianzisha na kufanikiwa bali uliishi kwa kuajiriwa.
 
Siku za hivi karibuni, niliamua kuwa na muda wa kujifunza kupitia mtandao wa You Tube. Nimetenga muda na bundle maalum kupata ujuzi kutoka kwa watu ambao naamini wanaweza kunisaidia kujitambua kama kijana Mwafrika.

Ifuatayo ni Orodha:

Prof. PLO Lumumba
Huyu jamaa mara ya kwanza kumsikia ilikuwa kupitia clip ndogo niliyotumiwa WhatsApp. Ni msomi Mwafrika kutoka katika ardhi ya Kenya. Mnyenyekevu, mbobezi katika sheria. Amejaliwa uwezo kwa kujieleza na anaufahamu wa mambo mengi. Prof. PLO Lumumba amenifanya nijivunie kuwa Mwafrika. Amenipa tumaini kuwa ipo siku Afrika itakuwa katika kilele cha mafanikio. Bila shaka viongozi wa Afrika wanamengi ya kujifunza kutoka kwa msomi huyu. God bless Prof. PLO Lumumba.

Joshua Maponga
Hiki ni kichwa hatari sana kwetu sisi Wanamajumui ya Afrika. Ni msomi wa Theolojia wa Solusi University na Andrews University huko Marekani. Huyu jamaa ameniwezesha kutenganisha Ukoloni na dini. Ana speech yake “Decolonizing Religion” ambapo amechambua mengi kuhusu dini na mustakabali wa Mwafrika.

Kwa sababu ya tamaduni za kikoloni kufungamana na dini kwa Wakristo na Waislamu, imewafanya baadhi ya Waafrika wasimuamini Mungu muumba wa mbingu na nchi. Ndio maana wakina Yericko Nyerere na Kiranga wanajinasibu humu ndani na ibada za miungu.

Ukimsikiliza msomi huyu, utagundua Afrika ametofautisha ibada kwa Mungu na tamaduni za kikoloni, hivyo kuifanya ibada ya Mwafrika kuwa sahihi machoni pa Muumba.

Myles Monroe
Huyu ni Mchungaji kutoka visiwa vya Bahama. Ni Motivational Speaker mzuri sana. Ukimsikiliza hutabaki kama ulivyo. Anaongelea maisha katika uhalisia wake. Nilihuzunika kusikia alishafariki.

Niongezeeni orodha ya wadau wenye speech nzuri za kumkomboa kimawazo kijana wa kiafrika huko Youtube.

Nawasilisha
PLO LUMUMBA ALIANZA KIWA NA HOTUBA ZA KINAFIKI ZA KUFUMBIA MACHO MAUCHAFU YA MWEMDAZAKE NANKUMSIA KWA KUPITILIZA.
ILIFIKIA MAHALI HOJA ZAKE ZILIAZA KUWA NYEPESI MNO MFANO ALIFIKIA HATUA YA KUSEMA ETI CCM HAIWEZI KUTOKA MADARAKANI SABABU WANANCHI WALIO VIJIJINI WENGI WANAJUA NYERERE BADO ANAONGOZA
 
Siku za hivi karibuni, niliamua kuwa na muda wa kujifunza kupitia mtandao wa You Tube. Nimetenga muda na bundle maalum kupata ujuzi kutoka kwa watu ambao naamini wanaweza kunisaidia kujitambua kama kijana Mwafrika.

Ifuatayo ni Orodha:

Prof. PLO Lumumba
Huyu jamaa mara ya kwanza kumsikia ilikuwa kupitia clip ndogo niliyotumiwa WhatsApp. Ni msomi Mwafrika kutoka katika ardhi ya Kenya. Mnyenyekevu, mbobezi katika sheria. Amejaliwa uwezo kwa kujieleza na anaufahamu wa mambo mengi. Prof. PLO Lumumba amenifanya nijivunie kuwa Mwafrika. Amenipa tumaini kuwa ipo siku Afrika itakuwa katika kilele cha mafanikio. Bila shaka viongozi wa Afrika wanamengi ya kujifunza kutoka kwa msomi huyu. God bless Prof. PLO Lumumba.

Joshua Maponga
Hiki ni kichwa hatari sana kwetu sisi Wanamajumui ya Afrika. Ni msomi wa Theolojia wa Solusi University na Andrews University huko Marekani. Huyu jamaa ameniwezesha kutenganisha Ukoloni na dini. Ana speech yake “Decolonizing Religion” ambapo amechambua mengi kuhusu dini na mustakabali wa Mwafrika.

Kwa sababu ya tamaduni za kikoloni kufungamana na dini kwa Wakristo na Waislamu, imewafanya baadhi ya Waafrika wasimuamini Mungu muumba wa mbingu na nchi. Ndio maana wakina Yericko Nyerere na Kiranga wanajinasibu humu ndani na ibada za miungu.

Ukimsikiliza msomi huyu, utagundua Afrika ametofautisha ibada kwa Mungu na tamaduni za kikoloni, hivyo kuifanya ibada ya Mwafrika kuwa sahihi machoni pa Muumba.

Myles Monroe
Huyu ni Mchungaji kutoka visiwa vya Bahama. Ni Motivational Speaker mzuri sana. Ukimsikiliza hutabaki kama ulivyo. Anaongelea maisha katika uhalisia wake. Nilihuzunika kusikia alishafariki.

Niongezeeni orodha ya wadau wenye speech nzuri za kumkomboa kimawazo kijana wa kiafrika huko Youtube.

Nawasilisha
Lumumba mnafiki mnafiki Fulani
 
Vitabu vyake ninavyo karibu vyote! Understanding Your Potential, Releasing Your Potential, Maximising Your Potential ... Becoming a Leader ... nk. Bado anaishi nasi kupitia fikra zake pevu katika maandishi!
Mkuu ni Hard copy??? Mi soft copy inanisumbua Sana naomba Tafadhali kama unaweza kunielekeza pa zkupata Hardcopy
 
Katika orodha yako hiyo namba 3 ndiyo mtu sahihi wa kujifunza lakini wengine ni bure kabisa,
Falsafa ya maisha ya mtu aliye huru huanzia kuwa na taasisi iliyofanikiwa na Myles Munroe ni mfano halisi, Hao wengine ni wapiga zumali tu
Kwa ujumla P L O Lumumba huwa sipati mengi mazuri.
Mku mleta uzi kwa mambo mazuri ikiwezekana ongeza listi
 
Back
Top Bottom