Watu weusi wauliwa libya waaraabu libya watu wabaya sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu weusi wauliwa libya waaraabu libya watu wabaya sana

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Oct 20, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,146
  Trophy Points: 280
  Hapo ndipo wema wa Gadhafi utapojulikana, waswahili hunena "hujafa hujaumbika".
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  too bad, kwani wanahusikaje na gadaffi?
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Kwa sababu Gadaffi alikuwa akisema kila wakati yeyeni muafrika, na alikuwa anawaunga mkono sana watu weusi wakati wa uongozi wake ndio maana waarabu ha waai hawawapendi Watu weusi wanawauwa na kulipiza kisasi.
   
 6. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  aiseeeeeehhh
   
 7. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hapo ndo unapata picha kwa nini watumwa waliokwenda nchi za magharibi wengi waliishi kulinganisha na wale waliopelekwa mashariki. sijui safari hii watakuja na uongo gani ili kufunika ushetani kama ilivyo kawaida zao
   
 8. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ndiyo tunayo yatafuta hayo.
  Nchi zetu tunawauzia "Wawekezaji"... Na sisi? "Tukatafute maisha nchi "Zilizoendelea"."
   
 9. P

  PauliMasao JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2011
  Joined: Nov 26, 2007
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mbwa ni mbwa tu. Mambwa wa Lybia yamemwua mbwa mwenzao. Na kwa vile mambwa hawa wamewatesa na kuwaua waafrika wenzetu nazidi kuwachukia hawa mambwa, na sio Libya tu, na mambwa wote huko kaskazini mwa Afrika na kwingine kote.
   
 10. Mr.Toyo

  Mr.Toyo JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 9, 2007
  Messages: 433
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Si mlikuwa mnashabikia NATO kuwaingiza waarabu pale mkadhani ndo demokrasia sasa ndo matokeo yake.

  Na bado, low profiled (to be heard from next <2 months) are more than exposed.

  Na hao NATO (Freemasons) wajue kuwa NTC (waaarabu) wataigeuka soon kwa kuwa lengo lao lilikuwa ni kusaidiwa kumwondoa Gaddafi tuu..

  Let's keep our eyes & ears open..
   
 11. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2011
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  oooh Mungu wangu! huu uonevu utaisha lini?
   
 12. J

  Jildiz Member

  #12
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  .... I never linked Islam with terror and brutality. It is my greatest same mistake I have been making for the last 50 years. Now I am repenting...God forgive me at last
   
Loading...