Watu weusi tujitafakari sana ushiriki wetu kwenye teknolojia

momy20

Member
Nov 16, 2020
22
14
Naangalia national geographic hapa wanaonyesha documentary ya space X so far sijaona mtu mweusi kwenye hii team ya space X. Ina maana watu weusi sisi haya mambo si level yetu au nini.
 
well mimi nimeona watu weusi.
even ni black americans na sio africans sababu marekani hairuhusu watu kutoka nje america kufanya kazi kwenye baadhi ya sekta..

hiyo documentary ni ya mwaka gani?
 
Back
Top Bottom