Watu weusi ni Manyani na Watumwa-Kiongozi wa Misri

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
14,655
11,657
Serikali ya Kenya imeitaka Serikali ya Misri kuomba radhi mara moja baada ya Kiongozi wake katika baraza la umoja wa Mataifa kuwaita Waafrica weusi ni Mambwa na Watumwa kwa kutumia lugha kiarabu akijua wengi hawataelewa... lakini wajumbe kutoka nchi za Africa Magaharibi wengine wanakifahamu haswa kiarabu walistushwa na kataharuki kufananishwa na Manyani na Watumwa... na kuanza kulalamika na kuwafahamisha wale wasioelewa lugha hiyo na kuzua hasira kuu na walianza kususia kikao hicho kwa kutoka nje kama UKAWA... ajenda kadhaa zilishindwa kupitishwa baada ya wajumbe kutoka kura hazikutosha haswa ajenda juu ya GAZA...

Serikali ya Misri ilipopokea Malalamiko hayo ilisema haiamini kama Kiongozi wake anaweza kutamka maneno hayo na ikasema itafanya uchunguzi kwanza..

Hii inaleta Picha kuwa Bado kuna Ubaguzi ambao by nature Watu weusi si lolote kwa watu wenye Ngozi Nyeupe,Khaki na Red na hili linajidhihilisha kila baada ya muda fulani... Na weusi pia wana kaubaguzi kao kwa watu aina ya Albino so Sometimes mimi huwa nikisikia visa hivi sioni kama Kosa la kumuhukumu mhusika... na baada ya kufundishana kuvumiliana ghasia ni Chache baada ya mtu kutamka au kuonesha Ubaguzi japo kwa baadhi ya Nchi huonesha kukerwa kwao kwa kulipiza kisasi tumeona Majuzi India baada ya Mtu mweusi raia wa Congo kuuliwa India Wahindi wa Congo walikipata chao nao pia.. ila kwa India huwa Nasikia ni Siasa so wanasiasa huwalipa hadi waandamanaji au huwalipa watu Wabake,Huwalipa Watu waue weusi au kuwanyanyasa n.k ili kuharibu serikali husika n.k

Kihistoria Wausi kitambo walikuwa ni Watumwa au race fulani ikiwashinda race fulani basi hugeuza race nyingine watumwa... ila Wausi nadhani ndio walikuwa Dhaifu sana so utumwa umedumu sana Kwao...So vizazi vikisoma historia hushika so anytime kikitokea kitu jambo la kwanza ni kujikweza na ni very simple kumkera mtu kwa kumuita Mtumwa au Mbwa kwa Mtu Mwusi... Sometimes naona tungeishi kila mtu kwenye bara lake Waarabu waondoke Africa waende Arabian Peninsula kwao Waturuki wabaki kwao,Kurdish wabaki zao persian watulie zao kwao na kila mtu abaki na dini yake ya mababu zao haya Madini mawili ndio Tatizo kubwa sana...

Na leo Nimegundua nano liitwalo Abed ambalo ni jina hapa kwetu wanaitwa watu kumbe linamaanisha Mtumwa... (Wachezaji Mpira wakongwe kina Abed Mziba,Abed Kasabalala)

Ma Abed wote mnakaribishwa Kuchangia Akiwepo Abed kahtaan

Outcry after Egyptian official calls Africans 'dogs and slaves'
Kenyan diplomat demands apology from Cairo after Arab diplomat's racist remarks at UN environment conference.
First Publish: 6/1/2016, 10:08 AM

699532.jpg

Egyptian Foreign Minister Sameh Shoukry
Reuters
Egypt has agreed to investigate allegations that one of its diplomats referred to Black Africans as "slaves and dogs" during a UN conference last week - while at the same time denying the incident ever took place.

According to Kenyan diplomat Yvonne Khamati, who heads the Africa Diplomatic Corps technical committee, the racist remarks targeting Sub-Saharan Africans came at the end of the United Nations Environment Assembly in Kenya last week.

Kenya's Capital News identified the Egyptian official in question as Egypt's Minister for Environment Khaled Fahmy, who is also President of the African Ministerial Conference on the Environment.

The comments were made in Arabic, but were understood by many Sub-Saharan African delegates, who were shocked and infuriated.

Khamati has lodged a complaint, demanding an official apology from Cairo.

According to her memo, the Arab official lashed out after a resolution about Gaza tabled by Arab states failed to pass, as too many delegates had already left the conference.

"Divisions evolved when the resolution on Gaza as not adopted due to a lack of quorum because most delegations had left. As a result, a few African delegations consulted with the delegation of Morocco, in their capacity as Chair of the Arab League and Egypt, with the view to the view to dissuade them from nullifying the resolutions that had already been adopted before the issue of quorum was raised," Khamati wrote.

"During our consultations with Egypt, the head of the Egyptian delegation and current President of AMCEN dismissed our concerns by informing that they would speak in their sovereign capacity and to that extent, referred to sub-Saharan Africa as dogs and slaves, in Arabic," she added.

Khamati also took to Twitter to blast the Egyptian official's racist conduct.

"He spoke to his delegation in Arabic in the presence of African delegates that understand Arabic," she tweeted, and slammed the comments as "uncivilized, undiplomatic, degrading and insulting the fabric of Pan-Africanism."

Apart from a swift condemnation and apology from Egypt, Khamati has further demanded the resignation of the official in question from his position as President of the African Ministerial Conference on the Environment.

But the accused Egyptian official - Minister of Environment Khaled Fahmy - strenuously denied that "any Egyptian official could utter with such words."

And while Egypt's Foreign Minister Sameh Shoukry announced he would be launching an investigation, he simultaneously prejudged the case, claiming that there was "no evidence" any such comment had been uttered.

In an official statement, the Egyptian Foreign Minister even lashed out at Khamati, communicating its "rejection and denunciation of the African Technical Committee Coordinator’s exceeding of her mandate, as well as Egypt’s rejection of the offenses towards Egypt contained in the memorandum."

Anti-Black racism is a serious problem in much of the Arab world, where Sub-Saharan Africans are commonly referred to aas "abed," which means "slave."
 
Ukwelii Unauma na Kukera..
Kweli Huu Mchezo Hauitaji Hasira..
 
Sijaona mahali ambapo serikali ya Kenya inaitaka misri iombe radhi, au ni mimi sijaelewa hiyo lugha?
 
Khamati has lodged a complaint, demanding an official apology from Cairo.
Hilo ni tamko binafsi sio serikali. Tamko la serikali haliwezi kutolewa haraka haraka tu. Afisa wa misri amemtukana mkenya kwenye mkutano na mkenya akamtaka aombe radhi wakiwa mkutanoni hapo hapo, kuna tamko la serikali hapo, au unatumia kigezo ya diplomat kama ndio serikali yenyewe?
 
Serikali ya Kenya imeitaka Serikali ya Misri kuomba radhi mara moja baada ya Kiongozi wake katika baraza la umoja wa Mataifa kuwaita Waafrica weusi ni Manyani na Watumwa kwa kutumia lugha kiarabu akijua wengi hawataelewa...

Hajasema Watu weusi ni Manyani na watumwa, amesema Watu weusi ni mbwa na watumwa. Hilo la manyani ni tusi lako wewe. Kwani kwenu dogs maana yake nyani?

Mara nyingine kutotafsiri vizuri kunazidisha sana matatizo na kutoelewana.
 
SEMA HIVII NINATAKIWA NITAWALIWE TENA USITUBURUZE.
Ishi unaona sasa, badala ya kumwambia huyo mwafrika mwenzako wa misri aliyesema unakuja kwangu mimi ninayechangia hoja, yaani bado hata hujui nani anatakiwa kurekebishwa
 
Ukwelii Unauma na Kukera..
Kweli Huu Mchezo Hauitaji Hasira..

Kweli kabisa.Kama unashindwa kujali watoto wa wenzako halafu tukiambiwa tunakuja juu kama moto wa kifuu.Nampa hongera sana kwa kutupa ukweli
 
Misri imesema kuwa itachunguza madai kwamba mmoja wa maafisa wake aliwaita Waafrika wanaoishi katika jangwa la sahara kuwa ''mbwa na watumwa'' wakati wa mkutano jijini Nairobi.
Madai hayo yametajwa na mwanadiplomasia wa Kenya ambaye anasema Misri inafaa kuzuiliwa kuwakilisha Afrika katika majadiliano yoyote.
Lakini Cairo imesema kuwa hakuna ishara kwamba lugha kama hiyo ilitumika na kutaka ushahidi wowote uliorekodiwa kutolewa.
Kisa hicho huenda kikazua wasiwasi kati ya Msri na majirani zake wa Jangwa la Sahara.
Katika malalamishi rasmi,Yvonne Khamati ,mwenyekiti wa kamati ya kiufundi ya wanadiplomasia wa Afrika amesema kuwa kuwa matamshi hayo yalitolewa na kiongozi wa ujumbe wa Misri katika mkutano wa Umoja wa Mataifa wiki iliopita.
''Kulikuwa na mgawanyiko katika mkutano huo baada ya makubaliano ya Gaza kutoidhinishwa kutokana na ukosefu wa wanachama'',alisema Khamati.
''Matamshi hayo yaliotolewa kwa lugha ya Kiarabu yalitolewa katika mazungmzo na ujumbe wa Misri'',aliongezea Bi Khamati.
 
Kwahiyo bora MBWA kuliko NYANI.

You are missing the point. Suala ni kuandika alichosema, sio kipi bora kati ya mbwa na nyani. Iwe mbwa, nyani au nguruwe vyote ni bora, viumbe vya Mwenyezi Mungu alivyoumba katika hekima na busara zake zisizo na mfano.
 
Mtumwa Ni jina pia, nawafahamu akina Mtumwa, tusibabaike kuitwa watumwa na watu wenye akili za kipumbavu
 
Back
Top Bottom