Watu weusi Marekani


P

pasodz

Member
Joined
Jan 19, 2015
Messages
59
Points
0
P

pasodz

Member
Joined Jan 19, 2015
59 0
Watu weusi wanaoish Marekani wamekasirishwa mpaka kutaka kuanzisha uhasama na vurugu kwa watu weupe. Kitendo cha kutoa video, `narudia' kutoa video, inayoonyesha mwanamke mjamzito akisukumwa na polisi weupe huku akiwa amefungwa pingu mikononi nyuma.

Hoja yangu ni hii:

1.Kwanini Wabongo tunawaona Wazungu kama vile wanaweza kila kitu na mpaka inafika muda wanatunyanyasa weusi hasa sehemu za kazi kama viwandani?

2. Unadhani viongozi wetu wapo upande upi? Namaanisha wanajali watu weusi au kuwajali Wazungu kwanza?

3.Hatuwezi kuandamana pale inapoonekana kuna unyanyasaji unaofanywa na watu weupe dhidi ya watu weusi?

Kumbuka kuwa ilikuwa ni video!

Karibuni kwa mjadala wanaJF.

Video yenyewe hi hapa (na uchambuzi)
 
Last edited by a moderator:
Lofawamali

Lofawamali

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2014
Messages
305
Points
250
Lofawamali

Lofawamali

JF-Expert Member
Joined Jun 9, 2014
305 250
Kwa sababu ni mwanamke mweusi na ni mjamzito isingepaswa kufanyiwa kitendo kile.

Lakin kwa upande mwengine yule dada mweusi alifanya kosa kuresist order ya askari ni kosa so she was taking advantage of her pregnancy,"But am happy as clam" The charges were dropped against the police officer.

Wazungu watu wa ajabu sana, kufikia hapo seems askari alishatakiwa in order to combact recism. Imagine kama jamaa asingeshtakiwa; moja kwa moja watu weusi America wangechukulia ni ubaguzi wa rangi na pangenuka. Kwa hyo wamelizima kistyle.
 
afrodenzi

afrodenzi

Platinum Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
18,178
Points
2,000
afrodenzi

afrodenzi

Platinum Member
Joined Nov 1, 2010
18,178 2,000
as long kuna watu weusi na weupe choko choko hazitakaa ziishe. Maana ukiangalia ndani zaidi, weusi kwa weusi hawapendani. Na weupe kwa weupe hawapenani. Naelewa kuna wengine watadhani natoa majibu mepesi kwa maswali magumu. "You're entitled to have an opinion".
 

Forum statistics

Threads 1,285,405
Members 494,595
Posts 30,860,760
Top