Watu weusi Marekani wanazidi kufanya Waafrika kuonekana washenzi Duniani

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,806
18,784
Naunga mkono watu kufanya maandamano kutetea na kupigania haki zao na pia ikibidi kupambana na watesi wao kwa 'Jino kwa Jino'

Lakini ni ni upumbavu mkubwa sana kuharibu, kuiba, kuchoma Moto Mali za watu ambao hawahusiki na mauaji ya huyo mtu mnayendama kupinga

Inawafanya watu kuwaona nyie ni watu wa vurugu, mnaoendeshwa kwa mihemko bila kufikiri

Ubaguzi upo kila mahali, Tuliona China juzi tu wakibaguliwa kisa Corona, India tunaona wakimbagua weusi, Urusi, Uarabuni, Ulaya n.k

Ila stereotype zinazofanya weusi wabaguliwe ni zile zile, wanachukuliwa Kama watu wavivu, wasio na nidhamu,
pia wahalifu wanaofanya uporaji, kuuza madawa, n.k japo wanaofikiria hivyo sio wote

Sasa wanachofanya Hawa ndugu zetu Huko USA kinazidi kupigia mstari na kukoleza hizi stereotypes dhidi ya weusi
 
Hilo ndilo tatizo la waafrika! Kuchoma nyumba na kuharibu mali za wasiohusika is not acceptable! tayari una cement mnachokipigania kuwa mnapashwa kubaguliwa maana nyie ni sub human!

Ukisha kuwa na ngozi nyeusi basi, umelaaniwa na shetani. kama unavyoona hapa kwetu kinachoendelea na tawala zetu! Ushetani kabisa!
 
Naunga mkono watu kufanya maandamano kutetea na kupigania haki zao na pia ikibidi kupambana na watesi wao kwa 'Jino kwa Jino'

Lakini ni ni upumbavu mkubwa sana kuharibu, kuiba, kuchoma Moto Mali za watu ambao hawahusiki na mauaji ya huyo mtu mnayendama kupinga...
Weka wazi kwanza, Wewe ni Mweupe au Mweusi? Usianzishe mada ya Mipasho kumbe unatetea race yako. Halafu mambo ya Marekani waaache wachome hadi Ikulu maaana wao wanajifanya kufuatilia mambo ya nchi nyingine kuliko ya kwao.

Utakuja Marekani yuko Bizze na Tanzania kumweka Segerea Erick Kabendera kuliko kuthibiti Umiliki holela wa Bastora kwa Vijana na Watu wenye Ulemavu wa Akili, sasa hapo zinawatosha kweli?

Waaache wavune walichopanda!
 
Weka wazi kwanza, Wewe ni Mweupe au Mweusi? Usianzishe mada ya Mipasho kumbe unatetea race yako. Halafu mambo ya Marekani waaache wachome hadi Ikulu maaana wao wanajifanya kufuatilia mambo ya nchi nyingine kuliko ya kwao. Utakuja Marekani yuko Bizze na Tanzania kumweka Segerea Erick Kabendera kuliko kuthibiti Umiliki holela wa Bastora kwa Vijana na Watu wenye Ulemavu wa Akili, sasa hapo zinawatosha kweli???
Waaache wavune walichopanda!
Bastora= Bastola
 
Hilo ndilo tatizo la waafrika! Kuchoma nyumba na kuharibu mali za wasiohusika is not acceptable! tayari una cement mnachokipigania kuwa mnapashwa kubaguliwa maana nyie ni sub human!

Ukisha kuwa na ngozi nyeusi basi, umelaaniwa na shetani. kama unavyoona hapa kwetu kinachoendelea na tawala zetu! Ushetani kabisa!
Hiyo paragraph yako ya mwisho imenifanya nikuone matako
 
Wale sio waafrica ni wamarekani weusi.
Sasa unavyotaka kufananisha wamarekani weusi na waafrica utakuwa unakosea.
Heee kuku wakienyeji akifugwa ulaya sio kuku wa kienyeji? Kuku ni kuku tu dna ni wengine wanyamwezi wa lingara wa ibo hausa wa fulani nk
 
Weka wazi kwanza, Wewe ni Mweupe au Mweusi? Usianzishe mada ya Mipasho kumbe unatetea race yako. Halafu mambo ya Marekani waaache wachome hadi Ikulu maaana wao wanajifanya kufuatilia mambo ya nchi nyingine kuliko ya kwao. Utakuja Marekani yuko Bizze na Tanzania kumweka Segerea Erick Kabendera kuliko kuthibiti Umiliki holela wa Bastora kwa Vijana na Watu wenye Ulemavu wa Akili, sasa hapo zinawatosha kweli???
Waaache wavune walichopanda!
Bastora ndio nini
 
Mbona me nimeona wazungu wakichoma au wao pia ni weusi
Maandamano mostly ni ya weusi mkuu, weupe hata wakiwepo wanawafuata weusi, Ila kwa kuwa majority ni weusi wanaonekana Kila kitu wanafanya wao, kumbuka Kuna bias tayari against weusi
 
Back
Top Bottom