Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,503
- 6,376
Habari wana JF???
Sisi waafrika ni kweli tuna extended families lakini wakati mwingine jamani ni kutiana umasikini!!!
Mtu ana watoto wake nane, anaishi nao Dar, watoto watatu anawatafutia shule ya day Moshi akiwa na matarajio kwamba wakaishi kwa fulani (si ajabu ni rafiki tu) tena bila hata kumtaarifu!!!
Haya unakubali kuwapokea kwa masharti kuwa gharama zote ni juu yake isipokuwa malazi na chakula ndo unajitolea, ooooh!!! shiiiit!!! ni mwaka wa pili sasa hatumi ada, uniform wala madaftari!!!! Watoto wakitaka kwenda Dar nyumbani wakati wa likizo anawaambia subirini hapo hapo nitawatumia kila kitu then havitumwi mpaka likizo inaisha, watoto wanasoma kwa matatizo mpaka unaingia tena mfukoni mwako ili kuwasaidia, jamani jamani, jamani!!!! Mie mwenyewe nimepanga uzazi kwa watoto wawili tu ili kuwajengea maisha bora sasa hii timu tena!!!! Duh!!!
Mbaya zaidi vitoto vya jijini Dar si mnavijua vikija mikoani kwa kujifanya vi-much know!!! Jioni unakuta vimesimama na wavulana kwenye kona za nyumba aaaah!!! Ni matatizo kwa kweli!!!
Hizi tabia jamani hazipendezi hata kidogo ni za kukemea!!!! Nawasilisha