Watu wenye tabia hizi wanakera sana!!!

Ligogoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
3,503
6,376
Habari wana JF???
Sisi waafrika ni kweli tuna extended families lakini wakati mwingine jamani ni kutiana umasikini!!!

Mtu ana watoto wake nane, anaishi nao Dar, watoto watatu anawatafutia shule ya day Moshi akiwa na matarajio kwamba wakaishi kwa fulani (si ajabu ni rafiki tu) tena bila hata kumtaarifu!!!

Haya unakubali kuwapokea kwa masharti kuwa gharama zote ni juu yake isipokuwa malazi na chakula ndo unajitolea, ooooh!!! shiiiit!!! ni mwaka wa pili sasa hatumi ada, uniform wala madaftari!!!! Watoto wakitaka kwenda Dar nyumbani wakati wa likizo anawaambia subirini hapo hapo nitawatumia kila kitu then havitumwi mpaka likizo inaisha, watoto wanasoma kwa matatizo mpaka unaingia tena mfukoni mwako ili kuwasaidia, jamani jamani, jamani!!!! Mie mwenyewe nimepanga uzazi kwa watoto wawili tu ili kuwajengea maisha bora sasa hii timu tena!!!! Duh!!!

Mbaya zaidi vitoto vya jijini Dar si mnavijua vikija mikoani kwa kujifanya vi-much know!!! Jioni unakuta vimesimama na wavulana kwenye kona za nyumba aaaah!!! Ni matatizo kwa kweli!!!

Hizi tabia jamani hazipendezi hata kidogo ni za kukemea!!!! Nawasilisha
 
Mkuu dunia ya leo hamna kitu kama hicho,labda anahisi ulimzalisha mke wake hao watoto
 
Kweli kabisa haipendezi mtu ashindwe kupanga uzazi afu aje atelekeze watoto kwa mwenzie, hee! Pole mwaya ila mwambie ukweli usiteseke kwa yasiyokuhusu. Amezaa kwa raha zake atunze kwa raha zake pia. Asikuchoshe huyn.
 
Tenda wema nenda zako. Hao watoto ni viumbe wa m/mungu watakufaa baadae.
 
Mwombee huyo mtu ili Mungu amuongoze ajue kuwa anachofanya sıyo ınshu.
 
Mnafiki au mwoga wewe. Kama hutaki kukaa na hao watoto si umwambie mwenyewe awachukue au uwalipie nauli (one way) waende kwa wazazi wao? Kwani Dar hakuna shule lazima wasome Moshi? Ni matatizo ya kujitakia.
 
Kawaambie na hao waliokupa watoto. Kweli inakera sana. Sometimes ukitaka ufanikiwe bora uwe na roho mbaya.
 
aiseeo we kiboko yani unawakuta vichochoroni wamejibanza na vidume bado unawapa ugali tu? Kudadadeki yaani ningekua mimi kesho yake unakuwakuta kwenye ngorika ya kwanza to Dar
 
mh, that will be too much. na watoto wanakaa kwake coz wako day skul. bora wakifunga shule awafungashe pamoja na wa kwake ampelekee daslamu wakamsalimie swahiba wa baba yao. afu aje awachukue wake na kumuachia wanae awatafutie shule ya boarding. huyo jamaa na mkewe nao kama kopo na mfuniko!
Kwani umelazimishwa?waambie watoto wakae shuleni wakati wa likizo...
 
Habari wana JF???
Sisi waafrika ni kweli tuna extended families lakini wakati mwingine jamani ni kutiana umasikini!!!

Mtu ana watoto wake nane, anaishi nao Dar, watoto watatu anawatafutia shule ya day Moshi akiwa na matarajio kwamba wakaishi kwa fulani (si ajabu ni rafiki tu) tena bila hata kumtaarifu!!!

Haya unakubali kuwapokea kwa masharti kuwa gharama zote ni juu yake isipokuwa malazi na chakula ndo unajitolea, ooooh!!! shiiiit!!! ni mwaka wa pili sasa hatumi ada, uniform wala madaftari!!!! Watoto wakitaka kwenda Dar nyumbani wakati wa likizo anawaambia subirini hapo hapo nitawatumia kila kitu then havitumwi mpaka likizo inaisha, watoto wanasoma kwa matatizo mpaka unaingia tena mfukoni mwako ili kuwasaidia, jamani jamani, jamani!!!! Mie mwenyewe nimepanga uzazi kwa watoto wawili tu ili kuwajengea maisha bora sasa hii timu tena!!!! Duh!!!

Mbaya zaidi vitoto vya jijini Dar si mnavijua vikija mikoani kwa kujifanya vi-much know!!! Jioni unakuta vimesimama na wavulana kwenye kona za nyumba aaaah!!! Ni matatizo kwa kweli!!!

Hizi tabia jamani hazipendezi hata kidogo ni za kukemea!!!! Nawasilisha

wewe ndo wakulaumiwa umelea/unalea maradhi. Kwa nini usiongee na mzazi wa hao watoto? tena umwambie wazi kuwa hatumi matumizi ya wanae huwezi kuendelea kuishi nao na wakifungua shule awatafutie pa kuishi? yeye ajue kuzaa tu kulea wamlelee wenzie? matatizo mengine ya kujitakia halafu unalalamika pembeni mie mwaka wa kwanza tu mwaka wa pili nawambie rafiki samahani kila mtu abebe msalaba wake. mjini mipango kaka
 
Mhhhhh:.................heri nusu shari kuliko shari kamili. Kumbukeni kuwa unapofanya makubaliano yoyote na mtu, chochote kinaweza kutokea kwa hiyo unatakiwa uwe tayari kukabilianan na matokeo.
 
Back
Top Bottom