Watu wenye nguvu waliowahi kutoka CHADEMA bila kuiathiri

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,137
33,200
Dr WP Slaa,
Zitto Z Kabwe
Kitila Mkumbo
Samson Mwigamba,
D. Kafulila
.............
Hawa watu walikua ni CHADEMA na CHADEMA ilikua ni watu Hawa.
Cha ajabu siku walipotoka watu walidhani CHADEMA inaenda kusambaratika lakini wapi.

Lijuakali Ni Nani ndani ya CDM

Dk Slaa aliandaliwa na press conference Tena siku chache kabla ya Uchaguzi ukweli aliishia kuondoka yet na mke wake tu.

Tazama maajabu na nguvu za ajabu za CHADEMA, mtu walioshiriki kumchafua na kumtangaza kua ni fisadi na watu wote wakamkataa Lowasa waliweza kumnadi na watu wakampa kura zao,hata yeye hakuamini kilichotokea. Hiyo ni nguvu kubwa sana ya ushawishi.

Watu walimpigia kura Lowasa huku roho zinawauma lakini hiyo ni kutokana na nguvu ya ushawishi ya CHADEMA.

CHADEMA ilipofikia hata aondoke Mbowe CHADEMA itaendelea kuwepo.
Lijuakali na wenzake mjitafakari sana.huko muendako mnaenda kufa kisiasa.
 
Mzimu wa Dr Slaa hadi leo unaitafuna CHADEMA, angalia hata Mnyika siyo yule wa enzi za Dr. Slaa. Basi tu hana jinsi, Mnyika amepoa kuliko kawaida! time will tell.
 
Sio kweli!
Ki
Mzimu wa Dr Slaa hadi leo unaitafuna CDM, angalia hata Mnyika siyo yule wa enzi za Dr. Slaa. Basi tu hana jinsi, Mnyika amepoa kuliko kawaida! time will tell.
Kinacho itafuna CHADEMA ni nguvu kubwa ya ukandamizaji wa siasa za upinzani nchini!
Policcem
 
kinachoitafuna CHADEMA ni CHADEMA. . . CHADEMA weakens itself, CCM will just pull a trigger when the time comes! ila CHADEMA is weakening CHADEMA. CHADEMA needs unity, creative and furthermore advanced POLITICS to beat CCM and to survive.

Alamsiki!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzimu wa Dr Slaa hadi leo unaitafuna CDM, angalia hata Mnyika siyo yule wa enzi za Dr. Slaa. Basi tu hana jinsi, Mnyika amepoa kuliko kawaida! time will tell.
Kumbuka wakati huo kulikua na Uhuru wa kuongea,CDM walikua huru kufanya operation nyingi bila bugudha,mfano operation sangara n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kinachoitafuna CHADEMA ni CHADEMA. . . CHADEMA weakens itself, CCM will just pull a trigger when the time comes! ila CHADEMA is weakening CHADEMA. CHADEMA needs unity, creative and furthermore advanced POLITICS to beat CCM and to survive.

Alamsiki!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Member kafukuzwa,makamba kaonywa,kinana kaonywa,Nape katishwa,January kakoromewa,nguvu ya CCM Ni dola

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Do WPSlaa,
Zitto z kabwe
Kitila Mkumbo
Samson Mwigamba,
D kafulila
.............
Hawa watu walikua Ni Chadema na Chadema ilikua Ni watu Hawa.
Cha ajabu siku walipotoka watu walidhani Chadema inaenda kusambaratika lakini wapi.
Lijuakali Ni Nani ndani ya CDM

Dk Slaa aliandaliwa na press conference Tena siku chache kabla ya Uchaguzi ukweli aliishia kuondoka yet na mke wake tu.
Tazama maajabu na nguvu za ajabu za CHADEMA,mtu walioshiriki kumchafua na kumtangaza kua Ni fisadi na watu wote wakamkataa Lowasa waliweza kumnadi na watu wakampa kura zao,hata yeye hakuamini kilichotokea.Hiyo Ni nguvu kubwa Sana ya ushawishi.
Watu walimpigia kura Lowasa huku roho zinawauma lakini hiyo Ni kutokana na nguvu ya ushawishi ya CHADEMA.
CDM ilipofikia hata aondoke Mbowe CDM itaendelea kuwepo.
Lijuakali na wenzake mjitafakari sana.huko muendako mnaenda kufa kisiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanaangalia karibu sana, chadema pamoja na kubanwa huku bado inafurukuta. Ukifungua mikutano ya hadhara leo hii ndo utakapo jua kuwa chadema sio Mbowe, chadema ni mass movement.
 
Lijuakali dhaifu analia bungeni kisa alifungwa baada ya kutemwa ... Na ameomba kuunga juhudi
 
Vijana jiungeni chadema
Do WPSlaa,
Zitto z kabwe
Kitila Mkumbo
Samson Mwigamba,
D kafulila
.............
Hawa watu walikua Ni Chadema na Chadema ilikua Ni watu Hawa.
Cha ajabu siku walipotoka watu walidhani Chadema inaenda kusambaratika lakini wapi.
Lijuakali Ni Nani ndani ya CDM

Dk Slaa aliandaliwa na press conference Tena siku chache kabla ya Uchaguzi ukweli aliishia kuondoka yet na mke wake tu.
Tazama maajabu na nguvu za ajabu za CHADEMA,mtu walioshiriki kumchafua na kumtangaza kua Ni fisadi na watu wote wakamkataa Lowasa waliweza kumnadi na watu wakampa kura zao,hata yeye hakuamini kilichotokea.Hiyo Ni nguvu kubwa Sana ya ushawishi.
Watu walimpigia kura Lowasa huku roho zinawauma lakini hiyo Ni kutokana na nguvu ya ushawishi ya CHADEMA.
CDM ilipofikia hata aondoke Mbowe CDM itaendelea kuwepo.
Lijuakali na wenzake mjitafakari sana.huko muendako mnaenda kufa kisiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Do WPSlaa,
Zitto z kabwe
Kitila Mkumbo
Samson Mwigamba,
D kafulila
.............
Hawa watu walikua Ni Chadema na Chadema ilikua Ni watu Hawa.
Cha ajabu siku walipotoka watu walidhani Chadema inaenda kusambaratika lakini wapi.
Lijuakali Ni Nani ndani ya CDM

Dk Slaa aliandaliwa na press conference Tena siku chache kabla ya Uchaguzi ukweli aliishia kuondoka yet na mke wake tu.
Tazama maajabu na nguvu za ajabu za CHADEMA,mtu walioshiriki kumchafua na kumtangaza kua Ni fisadi na watu wote wakamkataa Lowasa waliweza kumnadi na watu wakampa kura zao,hata yeye hakuamini kilichotokea.Hiyo Ni nguvu kubwa Sana ya ushawishi.
Watu walimpigia kura Lowasa huku roho zinawauma lakini hiyo Ni kutokana na nguvu ya ushawishi ya CHADEMA.
CDM ilipofikia hata aondoke Mbowe CDM itaendelea kuwepo.
Lijuakali na wenzake mjitafakari sana.huko muendako mnaenda kufa kisiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka anawaongepoea huyo Ndugai, ambaye hata June hajui kama atafika!!

Kujipa moyo ni tendo jema lakini paa la CDM kwa sasa limejaa matobo. Mvua ya october ndiyo utaona athali ya matobo hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzimu wa Dr Slaa hadi leo unaitafuna CDM, angalia hata Mnyika siyo yule wa enzi za Dr. Slaa. Basi tu hana jinsi, Mnyika amepoa kuliko kawaida! time will tell.
Vijana wameshindwa kuhimili nguvu ya dola plus tamaa ya maisha.haijawai kuwa rahisi ktk kupigania democrasi huku ukipambana na mkono wa chuma wa serikali hata enzi za kina mwl nyerere walipokuwa wakipigania Uhuru walipambana sana na kukubaliana na hali ngumu iliyokuwepo.hivyo hawa vijana wanatafuta urahisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom