kansije Member Sep 16, 2010 50 10 Aug 25, 2011 #1 Huyu Jamaa mwenye hii pub sijui alifikiria nini kuipa jina la kimyakimya
Daffi Jr JF-Expert Member Jun 25, 2011 3,825 906 Aug 25, 2011 #3 Hii mbona km vile li'pub' flan pale karatu karibu na ofisi ya mkuu wa wilaya!?
bht JF-Expert Member May 14, 2009 10,336 1,860 Aug 25, 2011 #5 kansije said: Huyu Jamaa mwenye hii pub sijui alifiria nini kuipa jina la kimyakimya View attachment 35967 Click to expand... unaharakishia wapi?
kansije said: Huyu Jamaa mwenye hii pub sijui alifiria nini kuipa jina la kimyakimya View attachment 35967 Click to expand... unaharakishia wapi?
First Born JF-Expert Member Jul 11, 2011 5,310 1,473 Aug 25, 2011 #6 hiyo ya ukweli, hata wahudumu hadi mke wa bosi we ukimtaka unamalizana nae kimyakimya.
mikatabafeki JF-Expert Member Dec 29, 2010 12,772 4,641 Aug 25, 2011 #7 wahudumu mabubu hadi uonyeshe sign so no kuongea
wilbald JF-Expert Member Dec 17, 2007 1,804 1,374 Aug 25, 2011 #8 kansije said: Huyu Jamaa mwenye hii pub sijui alifikiria nini kuipa jina la kimyakimya View attachment 35967 Click to expand... Ukiingia hapa unatakiwa ubonyeze kimyakimya ka JMO ALIVYOSEMA.
kansije said: Huyu Jamaa mwenye hii pub sijui alifikiria nini kuipa jina la kimyakimya View attachment 35967 Click to expand... Ukiingia hapa unatakiwa ubonyeze kimyakimya ka JMO ALIVYOSEMA.
Adrian Stepp JF-Expert Member Jul 1, 2011 2,764 2,581 Aug 25, 2011 #9 bht said: unaharakishia wapi? Click to expand... ha ha ha ha dah, yo very smart..
bht JF-Expert Member May 14, 2009 10,336 1,860 Aug 25, 2011 #10 Tbag Hatari said: ha ha ha ha dah, yo very smart.. Click to expand... heading kakosea na ndani tena kakosea..... kuna maneno mengine ukikosea unaweza kuharibu kabisa maana uliyokusudia kutoa kwa hadhira yako
Tbag Hatari said: ha ha ha ha dah, yo very smart.. Click to expand... heading kakosea na ndani tena kakosea..... kuna maneno mengine ukikosea unaweza kuharibu kabisa maana uliyokusudia kutoa kwa hadhira yako
Emanuel Makofia JF-Expert Member Jan 5, 2010 3,832 630 Aug 25, 2011 #11 Mambo yote kimya kimya,,,,,,,,,,,
kansije Member Sep 16, 2010 50 10 Aug 25, 2011 Thread starter #12 Daffi said: Hii mbona km vile li'pub' flan pale karatu karibu na ofisi ya mkuu wa wilaya!? Click to expand... <br /> <br /> hii pup iko maeneo ya iko maeneo ya ukonga mombasa
Daffi said: Hii mbona km vile li'pub' flan pale karatu karibu na ofisi ya mkuu wa wilaya!? Click to expand... <br /> <br /> hii pup iko maeneo ya iko maeneo ya ukonga mombasa
Mzee JF-Expert Member Feb 2, 2011 13,597 5,788 Aug 25, 2011 #13 Anamaanisha hata vbaka wakiwavamia hakuna kupga kelele.