Watu wengine Bwana!!!

Woga tupa kulee

JF-Expert Member
Sep 4, 2012
1,752
1,311
Nani amewahi kuamka asubuhi na kukuta mtu anamfuatilia utafikiri ameua kwao?
Watu wengine bwana!!
Yaani unakuta mtu mzima na ndevu zake anafuatilia weeee maisha ya mwanaume mwenzie au mwanamke mtoto wa mwanaume mwenzie utafikiri bwabwa bwana!!
Aaargh!!
Na kuna wale wengine akiona mtoto ametoka kufunga shule,utashangaa anamwita na kumuuliza,"Umekuwa wa ngapi kwenye mtihani?"
Jamani kwa inayo wahusu,acheni wanga bwana!!!
Wanga haufai,kila mtu ashike yanayo muhusu bana,ya nini kufuatiliana fuatiliana?
Kila mtu anakula kwake kudadadeki,
unamfuatilia fuatilia mtu,ameoa kwenu?
Aaaargh!!
Kuna watu wanakera mjue!!!
 
acha kuishi Simike, Mafiati, Mwenge, Makunguru na sehemu zote za uswazi....ishi Sae, Block T, Forest au Jacaranda hiyo mambo hakuna
 
Back
Top Bottom