watu wengine bwana dah.....

Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
3,391
1,541
yaani weekend yote hii uko hapo umetulia,unajifanya mpoleeee kumbe una chat na kimada!!!
 
sisapoti ila umejuaje kua ni kimada?ukiona mumeo/mkeo anakwenda njia ambayo sio jiulize kwanza umekosea wapi.kabla ya kulaumu mtu.

wengine tamaa tu ndugu yangu.hata uwape nini.yaani wao kusuguliwa na watu tofauti tofauti ndo raha yao.sio kwamba hawaridhiki,la hasha.yaani ndivyo walivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom