Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 20,651
- 71,374
True that, wakati mwingine inawezekana jamii inawatreat vyema tu, sema kiasili kama una udhaifu flani unakua unadhani/hisi yote yasiyofanikiwa kwako yamesababishwa na jinsi ulivyo/unavyoonekana.
Tujifunze tu kuchukuliana nao na kuishi nao kwa upendo hata pale tunapoona hawaonyeshi kuridhika na yale tunayowafanyia.
Wahenga wanasema "tenda wema nenda zako usingoje shukrani".
Kabisa mkuu,kiufupi wana ile hali ya kujistukia kutokana na yale mapungufu waliyonayo