Watu wengi wanakimbilia Ikulu, Ikulu kuna nini?:JK SAFARINI LINDI KUANGALIA MIRADI..


Gembe

Gembe

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2007
Messages
2,505
Likes
32
Points
135
Gembe

Gembe

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2007
2,505 32 135
Ndugu wana Bodi kumekuwa na hoja nyingi ambazo zimejizokeza hasa la madaraka ya Urais waNchi yetu,Kuna watu wamnampigia chepuo Wazitri Mkuu Lowassa na wengine wanasema kitendo cha Membe kung;ara katika NEC ni hatua mojawapo katika kuufukuzia urais wa mwaka 2015,wakati nawaza haya nikakumbuka maneno ya mwalimu watu wengi wanakimbilia Ikulu, Ikulu kuna nini?anayejua ikulu kuna nini atuambie.?
Mkuu wa Kaya hakai ofisini,sijui tatizo ni nini?Je watu wanakimbilia hizi safari za anazofanya Muungwana?
Je ni Miradi ambayo huwa inafanyika hapo Mahala patakatifu palipogeuzwa kuwa pango la wanyang'anyi?
Je ni huu mradi ya Hotel y akitalii ambayo mke wa Muungwana ameanza kujengahapa Lindi na ujenzi unakaribia kukamilika?
Naomba kuwasilisha,nipo Lindi kwa sasa nitakuwa nawapa yanayojiri hapa katika ziara ya Muungwana hapa Lindi..
 

Forum statistics

Threads 1,235,935
Members 474,901
Posts 29,240,907