Watu wengi sana wamepumzisha Mabanda yao ya kuku na Mashine za Kuangulia

Kuna boss wetu mmoja huku kazin kwetu daily lazima umsikie akiongea na simu kuhusu kuku au chakula cha kuku miezi ikasogea bwana

Ila baada ya miezi 4 akawa yeye ndio anaulizia kuku aende akale nyumbni na mkewe

Nkaja kumuuliza VP boss kuhusu mradi wako wa kuku?

Kesho yake nikapewa barua ya onyo, Eti niache umbeya,
 
Umesema vyema sana bro. Ukiweza project ya kuku basi wewe utaweza project zingine vizuri sana maana ni ngumu.
Uzuri wa nguruwe ni kwamba wanakula vitu vingi. Na chakula chao sio gharama kama cha kuku. Kuku usipowapa chakula kizuri wanadrop na hela inakukata.
 
Back
Top Bottom