Watu wengi sana wamepumzisha Mabanda yao ya kuku na Mashine za Kuangulia

Kitu ambacho tunatakiwa kujiuliza unapoanza mradi wowote ni je unauelewa was kutosha kuhusiana na huo mradi wako?
Watu wengi tunaingia kwenye miradi hii kwa sababu ya mihemko ya kuona mtu fulani kafanikiwa ngoja na Mimi nifanye hapo ndipo tatizo linapotokea.

Nilianza kufuga kuku 2014 hawa hawa chotora aina ya sasso sijawahi kupoteza kuku zaidi ya mmoja au wawili tena kwa kulaliana.

Sijasomea wala sina elimu ya mifuga lakini nilijifunza kutoka kwa mtaalamu wa mifugo ambae nae alikuwa anafuga.

Ngoja niwambie kitu kimoja muogope sana afisa mifugo ambae amesomea kwenye makaratasi hata kuku mmoja hana atakushauri vitu vingi sana ambavyo hata wewe utachanganyikiwa. Za kuambiwa changanya na zako.

Kuku wanalipa fuga kuku kwa malengo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilifanya utafiti japo sio wa kisomi, kumbuka Mimi sikufeli sana katika utunzaji, nilikuwa na eneo kubwa na Capital, nilianguka sana katika soko, na wauzaji hawakuwa waaminifu, unajua ilifika wakati kuendelea kukaa na Kuku ilikuwa hasara, hivyo ilinilazimu niwauze, hata hivyo sikuanguka sana, bado deni langu limefika pazuri baada ya kufuata utaratibu za kisheria, ila kiukweli cwezi kurudia mradi Wa Kuku, kwa sasa nimeanza na Ngombe 2 na Nguruwe 20, kwa kweli Nguruwe hawanipi shuruba niliyoipata katika Kuku, na karibu nawauza HawA Nguruwe, Madume yapo 16 na majike wanne, madume wawili sikuwahasi na kumi na NNE niliwahasi kwa ajili ya nyama, HawA majike wanne wana mimba, kwa kweli Nguruwe hawakunisumbua sana, ngombe wana mimba naamini nitaanza kunywa na kuuza maziwa simu za usoni, Natarajia mwisho Wa mwaka huu niwe na Nguruwe so chini ya hamsini na ngombe Wa Maziwa wanne, ila Kuku nafuga wachache Wa kienyeji kwa ajili ya matumizi ya nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania wengi tunaingia kwenye biashara kwa sababu tunaona fulani kaingia na siyo kwa sababu tuna ujuzi nayo. Hilo ndilo kosa la kwanza. Na tukianza kuigana tunaigana kweli kweli utafiria ni sheria imepitishwa lazima kila mtu afanye hiyo biashara. Ufugaji wa kuku unatakiwa mtu ajindae, awe na capital ya kutosha na asifanye mambo kama ilivyozoeleka.

Hivi kwa wale wenye mtaji wa kutosha kuna umuhimu gani wa kuuzia kuku wako hawa wateja magumashi wanaokuja mmoja mmoja? Tujari kuwaza nje ya box jamani. Kwa nini mfugaji asijenge sehemu aweke mafriji na kuku wanapofikia muda wa kuuza anawachinjwa na kuuza mwenyewe kwa bei rahisi? Tena mtu anaweza kwenda mabali zaidi na akawa anatenga mapaja peke yake, vipapatio peke yake, vidari peke yake nk na kupack kwenye mabox kama wanavyofanya majuu.
 
Kwa wale tunao anza tuna la kujifunza hapa jifunze kwa walio fanikiwa keep that passion,tuache kukatishana tamaa kila biashara inachangamoto hakuna jambo jepesi tufuate taratibu na miongozo ya ufugaji & Trust the process.
 
Kitu ambacho tunatakiwa kujiuliza unapoanza mradi wowote ni je unauelewa was kutosha kuhusiana na huo mradi wako?
Watu wengi tunaingia kwenye miradi hii kwa sababu ya mihemko ya kuona mtu fulani kafanikiwa ngoja na Mimi nifanye hapo ndipo tatizo linapotokea

Nilianza kufuga kuku 2014 hawa hawa chotora aina ya sasso sijawahi kupoteza kuku zaidi ya mmoja au wawili tena kwa kulaliana

Sijasomea wala sina elimu ya mifuga lakini nilijifunza kutoka kwa mtaalamu wa mifugo ambae nae alikuwa anafuga

Ngoja niwambie kitu kimoja muogope sana afisa mifugo ambae amesomea kwenye makaratasi hata kuku mmoja hana atakushauri vitu vingi sana ambavyo hata wewe utachanganyikiwa
Za kuambiwa changanya na zako

Kuku wanalipa fuga kuku kwa malengo

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenirudisha kwenye reli, Kwa sasa mambo yakoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilifanya utafiti japo sio wa kisomi, kumbuka Mimi sikufeli sana katika utunzaji, nilikuwa na eneo kubwa na Capital, nilianguka sana katika soko, na wauzaji hawakuwa waaminifu, unajua ilifika wakati kuendelea kukaa na kuku ilikuwa hasara, hivyo ilinilazimu niwauze, hata hivyo sikuanguka sana, bado deni langu limefika pazuri baada ya kufuata utaratibu za kisheria, ila kiukweli cwezi kurudia mradi wa kuku, kwa sasa nimeanza na Ngombe 2 na Nguruwe 20.

Kwa kweli Nguruwe hawanipi shuruba niliyoipata katika Kuku, na karibu nawauza Haws Nguruwe, Madume yapo 16 na majike wanne, madume wawili sikuwahasi na kumi na NNE niliwahasi kwa ajili ya nyama, HawA majike wanne wana mimba, kwa kweli Nguruwe hawakunisumbua sana, ngombe wana mimba naamini nitaanza kunywa na kuuza maziwa simu za usoni, Natarajia mwisho Wa mwaka huu niwe na Nguruwe so chini ya hamsini na ngombe Wa Maziwa wanne, ila Kuku nafuga wachache Wa kienyeji kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.
Hivi kwanini mnahasi wanyama ili kukidhi tamaa zenu za kibinadamu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukijaribu kutembea watu wengi utakuta wana mabanda ambayo yanaonekana yalisha wahi kutumiwa kwa ajili ya kulaza kuku.

Wengi unakuta wamebadili matumizi au wameyaacha yako tu yamekaa na hadinsasa unakuta Drinker na feeder zipo zina ning'inia juu.

KWA NINI WAMEPUMZISHA?
Hii ni kwa sababu ya zile hamasa za kwamba kuku wanalipa, kuku ni utajiri, watu wengi sana wakaingia kufuga kuku either kwa sababu waliona Jamaa zao au rafiki zao au majiraniao wanafuga.

Sasa na wao wakaingia kutaka kufuga kuku.

UKWELI WA UFUGAJI KUKU
Kuku ni moja ya kazi ambayo ni Capital internsive na labour intensive pia.

Kuku ni project kama una pesa za kuwekeza hapo, kuku sio project kama una pesa za kuunga uunga au una pesa unawazia.

Kuku wanahitaji pesa ili kuwafuga kwa sababu ni Capital intensive hasa lipo kuja swala la Chakula.

Chakula chao kinachukua asilimia 70 ya gharama zote za kutunza kuku that is why.

Kuku poa wanajitaji Care ya karibu sana make mistake kidogo tu inakuwaga ni msiba mkuu kabisa.

Kuku sio project ya kukimbilia kama huna passion, kama huna Commitment.

KWA NINI WATU WAMEPUMZISHA MABANDA?
1. Walifuga kuku wakafa wote,
2. Walikosa pesa za kununua chakula wakaaamua waache kufuga.

3.Waliona gharama za ufugaji na wanacho kipata havilingani kabisa.

4.Soko walilokutana nalo nitofauti na uhalisia.

Na zingine nyingi sana,

WANAO ENDELEA KUFUGA
Hawa ni wale ambao wao hawajavutwa na mtu kufuga bali ni plan zao na ni Passion yao kufuga kuku, hawa wapo kwenye Industry na wanafuga na ku make money.

MWISHO
Ufugaji wa kuku sio Project ya kukimbilia kama huna target na kama huna pesa.

Kuku ili wakupe pesa lazima uwekeze vilivyo hasa kwenye vyakula.

Kuku wanahitaji sana pesa ili kukupa pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa na biashara ya daladala huna moyo huiwezi
 
Mimi nimeamua kuingia fully yaani kufanya eco system kabisa,nalima mahindi,mpunga, alizeti nipate pumba na mashudu huku nafungua mashine ya kusaga nategeneza kabisa chakula cha kuku then natengeneza mbolea napeleka shambani kwa ajili ya mimea
 
Changamoto zipo kwenye kila kitu tunachojaribu kukifanya ila lazima tuumize vichwa kwenye kutafuta mbadala kwenye hizi shida. Mimi nilifuga nilianza 2017 changamoto nilizokutana nazo magonjwa kuna ugonjwa unaitwa sijui gombora ulinisafishia banda kutoka 160 mpaka 30 ndan ya siku tatu nashangaa tu nilikuja tatua na kujifunza sikuwapa chanjo tokea awali. Changamoto nyingine ilikuwa chakula kwangu ilikuwa changamoto sana ila nilipata mbadala baadae.

Shida kubwa inayosumbua watu ni soko mimi shida ya soko nilikuja kutatua pale nilipoanza urafiki na wapishi wa masherehe kiukweli niliuza sana 2019 niliachana na hio biashara sababu eneo nililokuwa natumia nilianzisha project nyingine.....tufocus kwenye kutatua shida zinazotusumbua hapoaisha yatakua na auheni.

Nisameheni kwa mwandiko

Sent using Jamii Forums mobile app
Nifungue kuhusu changamoto ya chakula.
 
Nifungue kuhusu changamoto ya chakula
 
Kitu ambacho tunatakiwa kujiuliza unapoanza mradi wowote ni je unauelewa was kutosha kuhusiana na huo mradi wako?
Watu wengi tunaingia kwenye miradi hii kwa sababu ya mihemko ya kuona mtu fulani kafanikiwa ngoja na Mimi nifanye hapo ndipo tatizo linapotokea.

Nilianza kufuga kuku 2014 hawa hawa chotora aina ya sasso sijawahi kupoteza kuku zaidi ya mmoja au wawili tena kwa kulaliana.

Sijasomea wala sina elimu ya mifuga lakini nilijifunza kutoka kwa mtaalamu wa mifugo ambae nae alikuwa anafuga.

Ngoja niwambie kitu kimoja muogope sana afisa mifugo ambae amesomea kwenye makaratasi hata kuku mmoja hana atakushauri vitu vingi sana ambavyo hata wewe utachanganyikiwa. Za kuambiwa changanya na zako.

Kuku wanalipa fuga kuku kwa malengo

Sent using Jamii Forums mobile app
Afisa mifugo alikuja kuwakata midomo kuku wa mayai (layers), naamka asubuhi kuku zaidi ya mia wamekufa, yaani wengine alikuwa anakata hadi ulimi. Kwa sasa nafanya mweyewe baada ya kujifunza na kununua ule mkasi maalumu wa kukatia.
 
Alikulipa hiyo hasara sasa, such alikijibu Vip baada ya kumwambia kuhusu hilo
 
Kitu ambacho tunatakiwa kujiuliza unapoanza mradi wowote ni je unauelewa was kutosha kuhusiana na huo mradi wako?
Watu wengi tunaingia kwenye miradi hii kwa sababu ya mihemko ya kuona mtu fulani kafanikiwa ngoja na Mimi nifanye hapo ndipo tatizo linapotokea.

Nilianza kufuga kuku 2014 hawa hawa chotora aina ya sasso sijawahi kupoteza kuku zaidi ya mmoja au wawili tena kwa kulaliana.

Sijasomea wala sina elimu ya mifuga lakini nilijifunza kutoka kwa mtaalamu wa mifugo ambae nae alikuwa anafuga.

Ngoja niwambie kitu kimoja muogope sana afisa mifugo ambae amesomea kwenye makaratasi hata kuku mmoja hana atakushauri vitu vingi sana ambavyo hata wewe utachanganyikiwa. Za kuambiwa changanya na zako.

Kuku wanalipa fuga kuku kwa malengo

Sent using Jamii Forums mobile app
Afisa mifugo alikuja kuwakata kidomo kuku wa mayai (layers), naamka asubuhi kuku zaidi ya mia wamekufa, yaani wengine alikuwa anakata hadi ulimi. Kwa sasa nafanya mweyewe baada ya kujifunza na kununua ule mkasi maalumu wa kukatia.
Alikulipa hiyo hasara sasa, such alikijibu Vip baada ya kumwambia kuhusu hilo
Hakulipa chochote, ni vijana waliomaliza vyuo vya mifugo wako mtaani wanabangaiza.
 
Familia yangu inafuga kuku wa nyama kuanzia mwaka 2008 na mradi unasimamiwa na mke wangu. Changamoto ni nyingi sana kama masoko na magonjwa.

Kuna kipindi waliwahi kufa kuku wote katika mabanda matatu na tukakaa miezi minne bila kufuga ila baadae tukaendelea tena. Cha muhimu ni kujua magonjwa na kuwakinga mapema na pale ugonjwa unapotokea unautafutia tiba haraka. Pia ujenzi wa mabanda ni kitu cha kuzingatia ili kuwaepusha na magonjwa kama mafua. Usafi wa mara kwa mara pia ni muhimu sana.

Kwa DSM wateja sio issue ila tatizo ni wateja kuwalalia wafugaji pale kuku wanapokuwa wengi sokoni. Binafsi ufugaji kuku umetusaidia sana katika maisha yetu. Sie tuna mitaji mitatu ya kuku elfu moja elfu moja na kuna mabanda makubwa mawili na moja dogo la kuanzishia, kwa mwezi tunauza kuku elfu mbili. Kuna kipindi cha changamoto na kipindi cha mavuno mazuri haswa.

Unatakiwa kuwa na akiba benki ili ikija changamoto usidondoke mazima. Biashara yoyote ina ugumu na hizi za viumbe hai ni changamoto zaidi. Uzuri wake ni kuwa haina kodi yoyote

Pia aina ya chakula ni muhimu sana kwani kuna baadhi ya vyakula vinaweza visinenepeshe vizuri. Na pia unatakiwa usiwe bahili kwenye kulisha lakini ufanye timing ya muda wa kuwatunza. Pia utakiwi kukata tamaa kwenye biashara ya kuku. Mke wangu ameanza toka 2008 na mpk leo anaendelea
 
Ufugaji, Ukulima, Kuuza vitu vinavyoharibika ndani ya siku 7 hapana kabisa
 
Brother u
Ukijaribu kutembea watu wengi utakuta wana mabanda ambayo yanaonekana yalisha wahi kutumiwa kwa ajili ya kulaza kuku.

Wengi unakuta wamebadili matumizi au wameyaacha yako tu yamekaa na hadinsasa unakuta Drinker na feeder zipo zina ning'inia juu.

KWA NINI WAMEPUMZISHA?
Hii ni kwa sababu ya zile hamasa za kwamba kuku wanalipa, kuku ni utajiri, watu wengi sana wakaingia kufuga kuku either kwa sababu waliona Jamaa zao au rafiki zao au majiraniao wanafuga.

Sasa na wao wakaingia kutaka kufuga kuku.

UKWELI WA UFUGAJI KUKU
Kuku ni moja ya kazi ambayo ni Capital internsive na labour intensive pia.

Kuku ni project kama una pesa za kuwekeza hapo, kuku sio project kama una pesa za kuunga uunga au una pesa unawazia.

Kuku wanahitaji pesa ili kuwafuga kwa sababu ni Capital intensive hasa lipo kuja swala la Chakula.

Chakula chao kinachukua asilimia 70 ya gharama zote za kutunza kuku that is why.

Kuku poa wanajitaji Care ya karibu sana make mistake kidogo tu inakuwaga ni msiba mkuu kabisa.

Kuku sio project ya kukimbilia kama huna passion, kama huna Commitment.

KWA NINI WATU WAMEPUMZISHA MABANDA?
1. Walifuga kuku wakafa wote,
2. Walikosa pesa za kununua chakula wakaaamua waache kufuga.

3.Waliona gharama za ufugaji na wanacho kipata havilingani kabisa.

4.Soko walilokutana nalo nitofauti na uhalisia.

Na zingine nyingi sana,

WANAO ENDELEA KUFUGA
Hawa ni wale ambao wao hawajavutwa na mtu kufuga bali ni plan zao na ni Passion yao kufuga kuku, hawa wapo kwenye Industry na wanafuga na ku make money.

MWISHO
Ufugaji wa kuku sio Project ya kukimbilia kama huna target na kama huna pesa.

Kuku ili wakupe pesa lazima uwekeze vilivyo hasa kwenye vyakula.

Kuku wanahitaji sana pesa ili kukupa pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app mwamba uko sahihi kuku wanahitaji hela. Mimi nimekua mfugaji mdogo wa mda mlefu, mwenye malengo makubwa na ndoto yangu niyamda Sana lakini nime kua sifikii maleno kwa kikwazo Cha hela. Nanimejalibu kupiga hatua kazaa maana changamoto za ugaji wa kuku moja ni eneo, elimu, miundo mbinu nk. Hivyo eneo nimeshapata mashine yakuangulia vifaranga issue ipo kwenye pesa ya kuendeshea project.
 
Mradi wa ng'ombe unaendeleaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Familia yangu inafuga kuku wa nyama kuanzia mwaka 2008 na mradi unasimamiwa na mke wangu. Changamoto ni nyingi sana kama masoko na magonjwa.

Kuna kipindi waliwahi kufa kuku wote katika mabanda matatu na tukakaa miezi minne bila kufuga ila baadae tukaendelea tena. Cha muhimu ni kujua magonjwa na kuwakinga mapema na pale ugonjwa unapotokea unautafutia tiba haraka. Pia ujenzi wa mabanda ni kitu cha kuzingatia ili kuwaepusha na magonjwa kama mafua. Usafi wa mara kwa mara pia ni muhimu sana.

Kwa DSM wateja sio issue ila tatizo ni wateja kuwalalia wafugaji pale kuku wanapokuwa wengi sokoni. Binafsi ufugaji kuku umetusaidia sana katika maisha yetu. Sie tuna mitaji mitatu ya kuku elfu moja elfu moja na kuna mabanda makubwa mawili na moja dogo la kuanzishia, kwa mwezi tunauza kuku elfu mbili. Kuna kipindi cha changamoto na kipindi cha mavuno mazuri haswa.

Unatakiwa kuwa na akiba benki ili ikija changamoto usidondoke mazima. Biashara yoyote ina ugumu na hizi za viumbe hai ni changamoto zaidi. Uzuri wake ni kuwa haina kodi yoyote

Pia aina ya chakula ni muhimu sana kwani kuna baadhi ya vyakula vinaweza visinenepeshe vizuri. Na pia unatakiwa usiwe bahili kwenye kulisha lakini ufanye timing ya muda wa kuwatunza. Pia utakiwi kukata tamaa kwenye biashara ya kuku. Mke wangu ameanza toka 2008 na mpk leo anaendelea
Niombee formula ya utengenezaji chakula kwa shemeji Mkuu wangu Kama hutojali.
 
Back
Top Bottom