Watu wengi hawana hoja za mashiko tatizo nini?

kipusi

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
443
75
Sasa kumekuwa na tabia ya watu wengi kuweka taarifa mitandaoni ambazo hazina uhakika kwa kuwa tu anamiliki simu ya smartphone.
 
Halafu utashangaa uzi huo unachangiwa sana, kwa hiyo ukiona hivyo ujuwe tatizo ni wewe mwenyewe badilika Ndugu yangu
 
Kuweka hoja hutegemea unapeleka ujumbe kwa hadhira gani ili kama kuna tatizo litatuliwe kwa hoja maridhawa.
 
Back
Top Bottom