Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,080
Hii hupelekea hata viongozi wao washindwe kujua nini wawafanyie hawa binadamu hasa wa Kitanzania kuwaridhisha matokeo yake kila mmoja hufanya anachojua
Tokea kuzaliwa kwangu mpaka kufa kwangu sijawahi kuona
Rais au mtu yoyote akisifiwa akiwa ndani ya muhula wake zaidi ni vilevile "bora aliyepita"
Wananchi wenzangu hasa wa kitanzania siku zote unavyomkandia mtu au kumtwishwa lawama bila kumpa muongozo unamgeuza kuwa adui. Ndio maana tumekuwa na viongozi na watu wenye tabia za hovyo
Na wala sishangai maana hata ungekuwa wewe tusingefanya vizuri sehemu yenye kukatisha tamaa
Mfano nilitegemea kunapotokea tatizo fulani watu wakajitokeza kusema Mheshimiwa kwa tatizo hili fanya hili na hili
Lakini hakuna hayo zaid ni bora yule bora yule, je tutafika
Huwezi tatua tatizo kwa kulifanya halipo nchi ni yetu sote tusimtegee mtu
Huwezi panda maembe ukavuna nanasi tabia za viongozi wetu imeanzia huku kwetu ila kwa kuficha tatizo tunaona bora yulee
Kuna muda tujalibu kujivesha uhusika je ningekuwa mimi