Watu wazuiwa kumuona Freeman Mbowe gereza la Ukonga, Magereza wadai kupokea maelekezo

Wanaokaa gizani kupanga maovu ni akina nani mwehu wewe? Nani walitaka kumuua Lissu? Nani waliowabambikia kesi Viongozi wa Chadema? Nani waliowaua Saanane, Azory na Watanzania wengine chungu nzima na hadi leo hakuna uchunguzi?
Wewe mwerevu huna ushahidi wa kumtuhumu aliyetaka kumuua Lissu....unao kihisia ee?!!!
 

Wewe mwerevu huna ushahidi wa kumtuhumu aliyetaka kumuua Lissu....unao kihisia ee?!!!
 
Binafsi ni kweli ni kibwengo ninayeishi kulitukuza TAIFA LA TANZANIA...LILIVYO....HISTORIA YAKE KUNTU.....na malengo bora na adhimu kupitiliza kupitia misingi iliyoanzisha CCM.....

Msukure nisalimie Erythrocyte!
Dada una kiherehere sana wewe,mumeo kala hasara.
 
Back
Top Bottom