Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,756
Wewe mwerevu huna ushahidi wa kumtuhumu aliyetaka kumuua Lissu....unao kihisia ee?!!!Wanaokaa gizani kupanga maovu ni akina nani mwehu wewe? Nani walitaka kumuua Lissu? Nani waliowabambikia kesi Viongozi wa Chadema? Nani waliowaua Saanane, Azory na Watanzania wengine chungu nzima na hadi leo hakuna uchunguzi?