Watu wazito wananikera

MBITIYAZA

JF-Expert Member
Jan 22, 2017
14,950
26,049
Jamani nisaidieni hili,kuna baadhi ya watu nimewahi kukutana nao maishani mwangu huwa ni wazito natural,hivi huwa ni nn ? yaan wazito tuu hawapo active ,shida huwa ni nn !yaan namaniisha unaweza mkuta yupo yupo tu hawezi kitu chochote hata kazi ndogo ndogo yeye huwa majanga kwake,ukija kwenye suala la pesa hachangamkii fursa yupo radhi alale njaa km hana pesa !hivi watu kama hawa huwa wanashida ipi jaman !

mtu wa namna hii mfano anaweza kukwama na gari badala ya kufight alitoe yeye anaweza jikuta analitelekeza hapo na kurud nyumban hawez jiongeza ampigie mtu amsaidie,mifano ni mingi sana nahitaj kujua mbona kuna wengine akili zao huwa zinaenda fast wengine zinakuwa very slow!

Na watu kama hawa wale chakula gan waamshe bongo zao? pia nimegundua huwa ni waoga yaan anahofu tu yeye sio wa kufanya jambo anataka ufanye wewe yeye amekaa pemben tu !namanisha wana HOFU !hyo hofu hutokana na nn??

binafsi nakereka !

cc; madoctors wote mnisaidie !
 
Aggrrr... Mi haraka nikajua unazungumzia uzito kitandani .... gadem!
 
Hata wewe ni mzito kwenye kitu fulani ila walio karibu yako wanajitahidi tu kwenda sawa na wewe na kufukia mashimo yako ndivyo maisha yalivyo usione watu wamepiga kimya ukadhani uko smart sana,watu wote tuna mapungufu yetu kwenye nyanja fulani dawa ni kuwekana sawa tu.
 
Hata wewe ni mzito kwenye kitu fulani ila walio karibu yako wanajitahidi tu kwenda sawa na wewe na kufukia mashimo yako ndivyo maisha yalivyo usione watu wamepiga kimya ukadhani uko smart sana.

ni kweli kabisa usemayo !lakini imagine had jirani anakuspot anasema ah mbitiyaza mzito sana yupo lazy huon kuna shida sehem?
 
Jamani nisaidieni hili,kuna baadhi ya watu nimewahi kukutana nao maishani mwangu huwa ni wazito natural,hivi huwa ni nn ? yaan wazito tuu hawapo active ,shida huwa ni nn !yaan namaniisha unaweza mkuta yupo yupo tu hawezi kitu chochote hata kazi ndogo ndogo yeye huwa majanga kwake,ukija kwenye suala la pesa hachangamkii fursa yupo radhi alale njaa km hana pesa !hivi watu kama hawa huwa wanashida ipi jaman !

mtu wa namna hii mfano anaweza kukwama na gari badala ya kufight alitoe yeye anaweza jikuta analitelekeza hapo na kurud nyumban hawez jiongeza ampigie mtu amsaidie,mifano ni mingi sana nahitaj kujua mbona kuna wengine akili zao huwa zinaenda fast wengine zinakuwa very slow!

Na watu kama hawa wale chakula gan waamshe bongo zao? pia nimegundua huwa ni waoga yaan anahofu tu yeye sio wa kufanya jambo anataka ufanye wewe yeye amekaa pemben tu !namanisha wana HOFU !hyo hofu hutokana na nn??

binafsi nakereka !

cc; madoctors wote mnisaidie !
kuna jamaa yangu akiona nyoka au jongoo anapanda juu ya makochi na anapiga yowe kwelikweli!ni mtu mzito mzito
 
Inaitwa "Cacomorphobia". lnawezekana labda chuki yako inatokana na experience mbaya na watu wanene. Kama upo USA utakuwa unapata shida sana na watu wa aina hii maana wapo wengi sana, mfano ukienda Walmart au Planet Fitness specially Black Women appear to be over represented.
 
ahahaah !aisee !mie ni mzito kujumuika jumuika na watu !huwa sipend sana !

Dawa yake ni kupata a 300-pound dirty and gruff redneck umfanyie facesitting on a regular basis. I'm sure it would permanently cure you of your phobia. Try putting up an ad on craigslist.
 
Back
Top Bottom