MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,950
- 26,049
Jamani nisaidieni hili,kuna baadhi ya watu nimewahi kukutana nao maishani mwangu huwa ni wazito natural,hivi huwa ni nn ? yaan wazito tuu hawapo active ,shida huwa ni nn !yaan namaniisha unaweza mkuta yupo yupo tu hawezi kitu chochote hata kazi ndogo ndogo yeye huwa majanga kwake,ukija kwenye suala la pesa hachangamkii fursa yupo radhi alale njaa km hana pesa !hivi watu kama hawa huwa wanashida ipi jaman !
mtu wa namna hii mfano anaweza kukwama na gari badala ya kufight alitoe yeye anaweza jikuta analitelekeza hapo na kurud nyumban hawez jiongeza ampigie mtu amsaidie,mifano ni mingi sana nahitaj kujua mbona kuna wengine akili zao huwa zinaenda fast wengine zinakuwa very slow!
Na watu kama hawa wale chakula gan waamshe bongo zao? pia nimegundua huwa ni waoga yaan anahofu tu yeye sio wa kufanya jambo anataka ufanye wewe yeye amekaa pemben tu !namanisha wana HOFU !hyo hofu hutokana na nn??
binafsi nakereka !
cc; madoctors wote mnisaidie !