Watu wawili wamefariki Dunia na wengine wanne kujeruhiwa katika ajali iliyotokea Daraja la Mto Wami baada ya Noah kutumbukia Mtoni

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,397
Watu wawili wamefariki Dunia na wengine wanne kujeruhiwa katika ajali iliyotokea Daraja la Mto Wami baada ya Noah kutumbukia Mtoni baada ya kugongwa na lori ambalo lilifeli breki.

"Waliofariki ni Bibi mmoja ambaye jina lake halijafahamika, pamoja na Mjukuu wake mwenye umri wa miezi tisa" -Zainabu Kawawa, Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo

Iv hili daraja lipo kenya? Mbona kila siku miradi mikubwa inazinduliwa lakini hili daraja linalomeza watanzania wenzetu kila mara limevumbiwa macho au mpaka liwe linaiunganisha chato?

RIP.
MAJERUHI MUNGU AWATIE NGUVU MPATE KUREJEA KATIKA HALI ZENU!

Sent using Jamii Forums mobile app
Daraja jipya linajengwa pembeni ya hilo. Kama umepita hivi karibuni ungeona ujenzi ukiendelea.
 
Ile Sehemu Ni Hatari Sana Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio inajulikana mkuu pia daraja ni jembamba magari hayapishani pia pande zote zina mhinuko kwa hyo ikitokea gari la upande wowote gari limefeli breki basi lazima lilengeshwe darajan alafu serikal imekaa kimya tu wakati kujenga lingine ni rahisi kuliko kununua kununua maupuuzi upuuzi ili kupata sifa za wajinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia wanajenga mm nakaribia Mwaka Nanusu situmii Usafiri Wa Bus Huwa Napaogopa Sana kwakwelii
Ndio inajulikana mkuu pia daraja ni jembamba magari hayapishani pia pande zote zina mhinuko kwa hyo ikitokea gari la upande wowote gari limefeli breki basi lazima lilengeshwe darajan alafu serikal imekaa kimya tu wakati kujenga lingine ni rahisi kuliko kununua kununua maupuuzi upuuzi ili kupata sifa za wajinga.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama siku zako bado usiogope kusafiri. Nimelitumia mno hilo daraja wala sijapataga ajali hapo. Hivyo msianze kuilaumu serekali hii inayowajali hivi. Hamuoni daraja jipya linajengwa hapo??
 
Back
Top Bottom