Watu watatu wafikishwa kortini wakikabiliwa na shitaka la kusafirisha Dawa Za Kulevya aina ya Heroine Kg 30

SIO LAZIMA
Jamani kama ushawah fanya biashara china au unafanya .
..ukipata mtaji mzuri na ukiwa na displn ya pesa viduka vya nguo utamiliki tu
Hivi kwanin mnapenda umaskin kias kwamba kila anaetajirika mnamuona ana walakini?
Sawa mnufaika
 
Marketing strategy tu hizo, we unaona anakula bata na kina mobeto kumbe mwenzio anajipromote...mi nimeingia dukani baada ya kumsikia kwenye media anauza raba elfu 20...na kweli nikazikuta...juzi kati nipo Dom nikaona duka lake, kuzama nikakuta bei zile zile, nikachukua jeans...kwanini asiwe tajiri
Yes anaweza Pia Kukupa Hiyo Picha Ili Umwamini. Ila Matajiri hawana Tabia Hizo. Angalia Mwanzoni alivyokuwa anaanza Biashara. Alikuwa anaficha Sura Usiione na Hataki Media Kabisa. Sasa Leo ndio anajua Kuna Marketing Strategy?
 
Vp quality zake zikoje

Ova
Kawaida tu kama maduka mengine.. ila ndio varieties kibao, anapokukamata ni kwenye bei chee...duka la Arusha kuna mpaka box la kusagula t-shirts...elfu 9...watu wanashona hatari, maanake ukitoka nje tu kwenye maduka mengine utauziwa 15 hadi 20...upo dukani lakini unaeza jihisi upo mitumbani tandika
 
Kuna mtu alipendekeza madawa ya kulevya yahalalishwe kama sigara. Ina maana yatapatikana kwa wingi na bei itapungua kabisa na watu wataona kufanya hiyo biashara hakulipi. Alisema kinachotakiwa ni kuweka mkazo kwenye elimu ili watu wasitumie.
Heroin ni mbaya kuliko Cocaine
 
Yes anaweza Pia Kukupa Hiyo Picha Ili Umwamini. Ila Matajiri hawana Tabia Hizo. Angalia Mwanzoni alivyokuwa anaanza Biashara. Alikuwa anaficha Sura Usiione na Hataki Media Kabisa. Sasa Leo ndio anajua Kuna Marketing Strategy?
Labda kuna mtu kamshauri awe hivi alivyo sasa hivi...Media ukiitumia vizuri inaeza ikakusaidia...mimi labda uniambie unashauku kapata mtaji kwa kuuza ngada hapo nitakuelewa, ila kusema maduka hayamlipi hapo nakataa maana strategy anayotumia ipo very clear sema tu inahitaji mtaji mkubwa...hapa yenyewe tunamuongelea kuna mtu ataona hizi comments atasema ngoja nikajionee hilo duka la fred vunja bei, atanunua hata Bukta...hii mbinu ya kuuza vitu vya kawaida kwa bei chee ila kwa mtaji mkubwa mbona hata kina bakhresa wanatumiaga, kuna kipindi alikuwa anauza hadi chapati
 
si kwakua unanunuliwa iphone 12 hata huulizi inapotokea...njoo hapa unambie faida ya jinsi za elfu 10 10 hata kama una maduka 100 unawezaje front kila weekend unamwaga hennesy tu....kama upo karibu yake jiangalie,,,uzuri siku hizi magu hacheki na nyau
kiongozi kama jamaa anafanya biashara nyingine sijui ila biashara ya nguo kama una mtaji mkubwa inalipa
ukisha zoeana na mchina huna haja ya kusafiri ni kuletewa mzigo tena si lazima ulipe cash mzigo wote
kuhusu masuala ya kodi sijui sana ila hivyo vinguo vya kkoo vinavyouzwa 15k 20k kwa wanaofanya hizo biz ukienda turkey china bei ya jumla wanachukua kwa mpaka 3k pc moja
 
Marketing strategy tu hizo, we unaona anakula bata na kina mobeto kumbe mwenzio anajipromote...mi nimeingia dukani baada ya kumsikia kwenye media anauza raba elfu 20...na kweli nikazikuta...juzi kati nipo Dom nikaona duka lake, kuzama nikakuta bei zile zile, nikachukua jeans...kwanini asiwe tajiri
Anajitangaza sana mshkaji,hapo unaweza kuta mchina anampa mzigo hadi m 300 na uhakika wa kuuza mzigo wote upo
 
Marketing strategy tu hizo, we unaona anakula bata na kina mobeto kumbe mwenzio anajipromote...mi nimeingia dukani baada ya kumsikia kwenye media anauza raba elfu 20...na kweli nikazikuta...juzi kati nipo Dom nikaona duka lake, kuzama nikakuta bei zile zile, nikachukua jeans...kwanini asiwe tajiri
Jeans quality yake ikoje mzee

Ova
 
Back
Top Bottom