Watu watatu wafikishwa kortini wakikabiliwa na shitaka la kusafirisha Dawa Za Kulevya aina ya Heroine Kg 30

Madawa ya kulevya ni diri za matajiri wengi duniani kote huwa tumia vijana ktk kazi hii haramu.ukiona magari yako barabarani ya milioni bila chanzo halisi cha mwenye nalo usiulize habari ndio hiyo
 
Ana kijungu fulan safi sana
Kimejajaaah

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Ndy maana huyo mbasha akaamua kumfanya chimbo,,

Dola 14000$ chumbani kwa allu..
Na madawa juu..

Yote kumwonyesha yeye jamaa ana pesa.
Mtoto atulie.
Kumbe ni kosa kubwa sana.

Tusiwape wanawake siri zetu.

Huwezijuwa pengine huyo allu alibwabwaja maneno sehem.
 
Ndy maana huyo mbasha akaamua kumfanya chimbo,,

Dola 14000$ chumbani kwa allu..
Na madawa juu..

Yote kumwonyesha yeye jamaa ana pesa.
Mtoto atulie.
Kumbe ni kosa kubwa sana.

Tusiwape wanawake siri zetu.

Huwezijuwa pengine huyo allu alibwabwaja maneno sehem.
nimeshangaa sana.ni hatari sana kumuhusisha mwanamke kwenye hizo deals
 
nimeshangaa sana.ni hatari sana kumuhusisha mwanamke kwenye hizo deals
Wanaume washamba na malimbukeni wanaona ufahari kujitapa kwa mwanamke juu ya biashara zao za haramu.

Nina 98% huyo allu au Fatma walibwabwaja sehem.

Huyo jamaa alikuwa anawatumia kama sehemu ya kuhifadhia mambo yake.
 
Wanaume washamba na malimbukeni wanaona ufahari kujitapa kwa mwanamke juu ya biashara zao za haramu.

Nina 98% huyo allu au Fatma walibwabwaja sehem.

Huyo jamaa alikuwa anawatumia kama sehemu ya kuhifadhia mambo yake.
aliingia chaka.alishindwa kuishi nao kwa akili
 
Waingie makubaliano na DPP kama inavofanyika kwa mafisadi! Wamalizie kuuza hio sembe then serikali inufaike.

Ila wavushe wakawauzie wakenya huko.
 
alikamatiwa airport kizembe sana. rasta tiko tiko yupo mtaani kamaliza kifungo chake
Mkuu sio mzembe..
Ilikuwa ni order maalum akamatwe.

Shkuba alikimbilia south Africa.,
Baada ya kesi ya jamaa mmoja kule Lindi kukamatwa na madawa mengi sana kwenye viloba.

Shkuba alihusishwa....akakimbilia South Africa.

Yupo mtu mkubwa serikalini akamwambiya kesi wewe huna rudi Tanzania.

Kaingia Tanzania vizuri ,,,siku anataka kurudi south,,
Kufika airport,
Migration akataka dola 2000$ tu amgongee passport aondoke..

Maana tayari alikuwa most wanted by Interpol kwenye system.

Shkubar akaanza kubishana bila kujuwa alikuwa blocked by Interpol.

Akawekwa pembeni.
Alimpigia yule mkubwa lakini haikusaidia kitu.

Baada ya mwezi kule mahabusu alifika dau dola 100,000$..aachiwe.
Bado watu wakaweka ngumu...

Mkuu zako zikifika hata mali yako haitokusaidia kitu.
 
Huyu walichelewa wakati wanashtuka ye tiari alishamaliza mzigo pesa akazitakatisha Kwenye maduka hivyo yupo safe kwa sasa
Atulie, show off zitamponza, sidhani kama ana maelezo mazuri ya kutoa na vitabu yake vya mahesabu vimenyooka kama ataulizwa na TRA amefikaje fikaje hapo alipo, usichukulie poa kutoa maelezo ya chanzo cha pesa iliyoingiza kwenye biashara, si rahisi hata kidogo kama uliipata tuu, yani dili moja paap umefungua duka

Wengi wanafungua biashara na kuziendeleza kwa fedha ambazo hazijapatikana kihalali, kwanza unaweza kukuta biashara haifanyi vizuri ila kuna illegal cash cow inarun, kwa historia ya huyu jamaa, njia alizopita na namna alivyoingia upya kwenye biashara na uwekezaji akitafutwa huku anaumia...wanaweza kumkosa huko kwenye kukutwa na madawa ila utakatishaji HACHOMOKI
 
ila hawa wanonekana n watamu
Screenshot_20210328-180509.jpg
 
Kitengo kimekufa...tangu aingie mama sijasikia kashikashi za haya madude.
 
Back
Top Bottom