Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,850
- 803
watu watatu wamefariki wiki hii ktk tukio liliwashangaza watanzania. tukio hilo limetokea ktk kijiji cha nyansincha kata ya nyansincha wilaya ya tarime.
Alianza kufariki mume siku ya jumanne akazikwa jumatano, baada ya mazishi mtoto akafariki jumatano akazikwa alhamisi na alhamisi usiku mke akafa. hadi sasa haijajulikana chanzo cha vifo hivi. MUNGU AWALAZE MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMIN.