Watu watapunguzwa sana kazi awamu hii

Moneyowner

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,423
1,252
Wanajamvi, siri ya mtungi aijuaye kata uchumi wa sekta binafsi kwaa sasa hali ni tete, wanazalisha lakini hawana pa kuuzia soko la bidhaa in bovu haijawahi tokea, sekta ya madini nako ndo ivo tena kamati ya pili ishaundwa.

Sasa waajiri hawafikirii kuajiri tena isipokuwa kupunguza watu wasio kuwa wa muhimu sana, ikumbukwe baadhi ya sekta zilishaanza kupunguza kitambo mfano fast jet ilikula vichwa 40, ila kuna taasisi kibao ambazo zinapiga watu chini kimya kimyaa yaani ni hatari mazee wafanyakazi wa mahoteli watakuwa mashahidi kwa hili.

Wapiga kura wa magu twafaa, magu mwenyewe redudance kashafanya tayari ni baada ya kutimua watumishi hewa na kustisha ajira serikalini , sembuse sekta binfsi, mhii hii nouma sana mazee
wajiriwa hasa sekta binafsi tujiandae kwa lolote uombe kikombe kikuepuke. awamu hii kijijini kunatusu sana aisee.
Asanteni 2020 usifanyekosa
 
Back
Top Bottom