Watu wasiopenda kujiita ma Dr kama JK au Slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu wasiopenda kujiita ma Dr kama JK au Slaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mamanalia, Nov 23, 2010.

 1. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mahmoud Ahmadinejad:

  He took his PhD (1997) in transportation engineering and planning from Iran University of Science and Technology, located at Tehran, when he was the Mayor of Ardabil Province, located at the north-west of the country.


  Condoleezza Rice

  In 1974, at age 19, Rice was inducted into the honor society Phi Beta Kappa, and was awarded a B.A., cum laude, in political science by the University of Denver. She obtained a master's degree in political science from the University of Notre Dame in 1975. She first worked in the State Department in 1977, during the Carter administration, as an intern in the Bureau of Educational and Cultural Affairs. In 1981, at the age of 26, she received her Ph.D. in political science from the Josef Korbel School of International Studies at the University of Denver. Her dissertation centered on military policy and politics in what was then the communist state of Czechoslovakia.[11]  Kina Jk na Slaa kila siku Dr Dr, u doctor gani mlionao usio na proudness.

  Ongezea wengine.
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
 3. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  how did u know?
   
 4. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 457
  Trophy Points: 180
  Jk na Slaa si sawa Slaa ni Dr wa kusoma na JK ni udoctor wa kupewa. Maraisi karibia wote wana dr wa kupewa na hawajiiti Dr kwasababu si Phd ya ukweli ni ya heshima tu. Bush, Clinton, Bush senir wote wana Dr za kupewa lakini hawajiiti dr! hivyo huu ni ushamba tu kumlinganisha Dr Slaa na JK. Dr. Slaa ni uamuzi wake kwasababu amesomea hiyo PHD kwa miaka mingi sana.
   
 5. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  How did u know?
   
 6. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ebu angalia phd za hao niliowataja. Slaa naye alipewa phd na dini. he can't call himself a dr in a grp of phd holders.
   
 7. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Kwetu mtu akiwa na baiskeli, huandika kujisifu ili atambulike umiliki waje kijijini. Kwa kuhisi hakuna wengine walio navyo.

  C.L Nahonyo - Udsm kazi aifayayo inajulikana pale idarani kwake.
   
 8. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  slaa kisomo chake ni kuongoza kanisa.. sio nchi yenye waumini tofauti..! if kama kigezo ni usomi.
   
 9. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kumbele kumbele - Mamanalia x2.

  Nilizoea kuitwa Dr. sasa naitwa Dictator mama, nina haha kwa hasira.
   
 10. Lenana

  Lenana JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 422
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  dr w . p. slaa anaingia katika kundi hili ila kikwete haingii and be informed kuwa phd holder huwa wanaitwa na hawajiiti kama unavyojieleza haswa katika nchi zinazoendelea ambako wasomi ni wachache na sekta za elimu ziko nyuma!
   
 11. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Huyu hapa:


  lipumba.jpg
  Mwaka 1973-1976 alikuwa Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam ambapo alipata Shahada ya kwanza (BA Economics). Mwaka 1976-1978 Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam kwa Shahada ya pili (MA Economics). Halafu Stanford University nchini Marekani (1978-1983) Shahada ya Udaktari wa Falsafa (PhD) kwenye masuala hayohayo ya Uchumi.

  Habari zake zaidi:
  Code:
  [URL="http://sw.wikipedia.org/wiki/Ibrahim_Lipumba"]Ibrahim Lipumba - Wikipedia, kamusi elezo huru[/URL]
   
Loading...