Watu wasiaomini kuna Mungu, waitaka serikali ya Nirobi kuondoa marufuku ya ukahaba

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Watu wasiaomini kuna Mungu wameitaka Serikali ya Kaunti ya Nairobi kujenga madanguro badala ya kupitisha sheria inayokataza ukahaba

Mwenyekiti wa chama hicho, Harrison Mumia amesema ametoa siku 14 kwa viongozi wa jiji hilo kuondoa muswada wa sheria hiyo ama wataandamana

Wamedai kupitisha sheria hiyo itakuwa ni kinyume na katiba na na kurudisha nyuma

Bunge la Kaunti hiyo lilipitisha mjadala unaokataza ukahaba Nairobi

Wamedai biashara ya ukahaba ni kama biashara nyingine ambazo watu wanatoa huduma kwa utaalamu kwa malipo ya fedha

Kwenya barua yao wamesema badala ya kupitisha sheria ya kukataza ukahaba wangepitisha sheria ya jinsi ya kuendesha madanguro ambayo itawezesha serikali kuwa na udhibiti kwenye biashara hiyo

Pia amesema makahaba ni kama wafanyakazi wengin na hawapaswi kubaguliwa kutokana na kazi yao

================================================
Atheists have asked the Nairobi county government to construct brothels instead of passing laws to ban prostitution.

Chairman Harrison Mumia, in a letter to the council of governors chairman Josphat Nanok and copied to the AG, said they will protest if MCAs don't withdraw their motion prohibiting commercial sex work in the city.

He issued a 14- day ultimatum saying the the passing of the law is unconstitutional,illegal, untenable, and retrogressive.

The county assembly on Friday passed a motion prohibiting commercial sex work in Nairobi. The motion was moved by Woodley Kenyatta Golf Course MCA Mwangi Njihia.

He argued that sex trade in the capital has become an open air business without consequences and therefore, the city needs nip the vice in the bud.


"Instead of banning prostitution the county should pass enabling legislation to facilitate running of brothels," Mumia said in the December 2 letter.

"This will enable the government to exercise more control over the sex industry. Prostitutes have rights just like any other worker in Kenya and should not be judged unfairly."

He said prostitution is a service industry like any other in which people exchange skills for money or other reward.

"No person should be violated on the basis of the trade occupation work calling or profession," the Atheists leader said.

"It should not be lost on the county that no law has ever succeeded in stopping prostitution anywhere. Sex worker is not going to disappear any time soon," he said.

The penal code criminalises aspects of prostitution stating that every male person who knowingly lives wholly or in part on the earnings of prostitution or in any public place persistently solicits or importunes for immoral purposes, is guilty of a misdemeanor.

It adds that: "Every woman who knowingly lives wholly or in part on the earnings of prostitution, or who is proved to have, for the purpose of gain, exercised control, direction or influence over the movements of a prostitute in such a manner as to show that she is aiding, abetting or compelling her prostitution with any person, or generally, is guilty of a felony."


Source: The Star
 
Hawa kwa akili yao na kupenda kuiga mambo ya ulaya na marekani hawakawii kupitisha ushoga.. maana wakenya wanapenda sana kujifanya wazungu
 
uelewa wa watu hawa.... atheism vs prostitution.
ninachojua county ya Nairobi wamepiga marufuku kwa ya moral and value (maadili) au natural law.
 
uelewa wa watu hawa.... atheism vs prostitution.
ninachojua county ya Nairobi wamepiga marufuku kwa ya moral and value (maadili) au natural law.

Uko sahihi, these are just seeking for attention, eti they will demonstrate.
 
Itakuwa hao ndo kastama nambar wan wa makahaba Nai. Tena wanalipiaga hadi na 'extra charges' za other 'co-curricular activities'. :D:D
 
Uko sahihi, these are just seeking for attention, eti they will demonstrate.

duuu hizi njaa hizi sijui zitatufikisha wapi!!!??
hapo pa kudemo wasicheze na kima. wawashie moto tu.

si umesikia na kule kwa malikia. wanakaombea kamfalme kadogo ili kawe kashoga. tena aliyehamasisha ni kiongozi wa kanisa la kwa malikia.
 
Back
Top Bottom