Hawa watu kwakweli wanatia hasira.
- Akikaa kwenye siti anatumia siti moja na nusu, abiria mwenza anabaki na nusu siti tu..
- Kama amesimama kwenye daladala anakubana na tumbo lake wewe abiria uliyekaa..
Ni kweli lakini kumbuka kuna ule unene wa mtu kujiachia/ kula kula hivyo bila mpangilioGrow up! Kuwa mnene siyo dhambi. Unaanzaje kumkosoa mtu kwa kitu ambacho ni natural. Haiwezekani watu wote wakawa wembamba Dunia isinge pendeza. At least jifunze kuheshimu tofauti zilizowekwa na Mungu.
Hawa watu kwakweli wanatia hasira.
- Akikaa kwenye siti anatumia siti moja na nusu, abiria mwenza anabaki na nusu siti tu..
- Kama amesimama kwenye daladala anakubana na tumbo lake wewe abiria uliyekaa..
Si kweli. Watu wengi wanene kwa asili ya miili yao na si eti kwamba wanakula saaana tofauti na watu wasio wanene. Haya masimango yenu mnawaathiri sana wenzenu hawaishi kwa furaha. Hebu tuwaache watu wote wajihisi wa thamani kwa jinsi walivyoTatizo wa wa Dar wanakula sana uchafu na sumu. We mtu anajishindilia soda kila siku na majuice ya ajabu ajabu. Hapo bado muda flan hajashushia na misamaki imekaangwa kwa mafuta yaliyotumika kwa mwaka mzima. Na mazoezi hawafanyi. Lazima waote vitambi na makalio makubwa. Watu wa Dsm wanasikitisha kwa kweli.
Mtoa mada zingatia hili agizo.Nunua gari lako ukae kwa raha...
Alisikika abiria mmoja mwenye hasira akisema😀😀😀😀Nunua gari lako ukae kwa raha...
NakaziaNionavyo tusiwageuze kuwa kero sababu wengine ni miili yao ile japo kuna wengine wako vile sababu ya ulaji mbovu.
daah labda tukatafute tu uzi wetusisi watu wanene tuna comments wapi