Watu wanene sana, wenye vitambi vikubwa na wanaonuka ni kero kwenye usafiri wa umma

Paa

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
1,449
2,924
Akikaa kwenye siti anatumia siti moja na nusu, abiria mwenza anabaki na nusu siti tu.
Kama amesimama kwenye daladala anakubana na tumbo lake wewe abiria uliyekaa.
Hawa watu kwakweli wanatia hasira.
 
  • Akikaa kwenye siti anatumia siti moja na nusu, abiria mwenza anabaki na nusu siti tu..
  • Kama amesimama kwenye daladala anakubana na tumbo lake wewe abiria uliyekaa..
Hawa watu kwakweli wanatia hasira.
 
Tatizo watu wa Dar wanakula sana uchafu na sumu. We mtu anajishindilia soda kila siku na majuice ya ajabu ajabu. Hapo bado muda flan hajashushia na misamaki imekaangwa kwa mafuta yaliyotumika kwa mwaka mzima. Na mazoezi hawafanyi. Lazima waote vitambi na makalio makubwa. Watu wa Dsm wanasikitisha kwa kweli.
 
Nionavyo tusiwageuze kuwa kero sababu wengine ni miili yao ile japo kuna wengine wako vile sababu ya ulaji mbovu.
 
Grow up! Kuwa mnene siyo dhambi. Unaanzaje kumkosoa mtu kwa kitu ambacho ni natural. Haiwezekani watu wote wakawa wembamba Dunia isinge pendeza. At least jifunze kuheshimu tofauti zilizowekwa na Mungu.
Ni kweli lakini kumbuka kuna ule unene wa mtu kujiachia/ kula kula hivyo bila mpangilio
 
  • Akikaa kwenye siti anatumia siti moja na nusu, abiria mwenza anabaki na nusu siti tu..
  • Kama amesimama kwenye daladala anakubana na tumbo lake wewe abiria uliyekaa..
Hawa watu kwakweli wanatia hasira.

Yote Tisa ila Kumi usiombe wajipindue kidogo tu Wajambe / Wakujambie mtatafutana humo.
 
Tatizo wa wa Dar wanakula sana uchafu na sumu. We mtu anajishindilia soda kila siku na majuice ya ajabu ajabu. Hapo bado muda flan hajashushia na misamaki imekaangwa kwa mafuta yaliyotumika kwa mwaka mzima. Na mazoezi hawafanyi. Lazima waote vitambi na makalio makubwa. Watu wa Dsm wanasikitisha kwa kweli.
Si kweli. Watu wengi wanene kwa asili ya miili yao na si eti kwamba wanakula saaana tofauti na watu wasio wanene. Haya masimango yenu mnawaathiri sana wenzenu hawaishi kwa furaha. Hebu tuwaache watu wote wajihisi wa thamani kwa jinsi walivyo
 
Mie bora nikutane na mabonge lakini nisikutane na muongeaji ongeaji,sipendi mtu anaongea sana aseee....mtu anakukuta umekaa zako kimya anaanza mastori ambayo kimsingi sio ya msingi kwangu

Siku hizi natembea na earphones,mtu akianza stori tu naweka earphones hata bila mziki halafu nakula buyu

Halafu nitamwambia baba aninunulie gari ili niachane na hizi kero
 
"Kunuka" hilo neno linafanana na tusi unapomuelezea mwanadamu, pia ni kipimo cha matamshi ya mtu asiye na 'kaba' ya ulimi.

Hiyo wewe unayoita kunuka, wenzako ni kunukia na huo ubeberu unaousikia wewe, kuna watu huwaamshia mizuka.

Na ndiyomaana ukiona watu wanapita kimyakimya sehemu, usifikiri si wasemaji ama wajinga no, ni wasemaji wazuri na ni wajuwaji pia, isipokuwa wanachunga ndimi zao.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom