Watu wanaswa na komputa na meza zilizoporwa kanisa la Mbagala

Status
Not open for further replies.
Wa2 wenye akili fupi kama ww is alwayz difficult to discuss with but anyway wacha 2wafahamishe kulingana na kilichotokea ni kweli waislamu ndio walioriact the same chance were used by fools and hooligans like u 2 to break and steal some properties which is against Islam, so that does not justify that those thieves were muslims because muslims are the one who made the reaction. But this is 4 only those who use their mind rationally.

Kwa akili yangu fupi nimegundua kuwa waislamu wanashirikiana na wezi na vibaka kupora mali za makanisa. Hii inatokana na ukweli kwamba waislamu walibomoa na kuvunja makanisa ili wezi waweze kufanya kazi yao ya uporaji. Hivyo basi iwapo waislamu wasingevunja makanisa wizi usingetokea kama unavyojaribu kunielewesha kwa akili zako ndefu. Unawezaje kutenganisha matukio haya mawili yaliyotokea wakati mmoja ya kubomoa makanisa na kuiba mali zilizomo ndani. Maelezo unayotoa ni yale yale yaliyotolewa baada ya matukio ya Zanzibar. Jiulize swali la msingi, Kwanini hao wahalifu hawakwenda kuvunja maduka na nyumba za wakristu wakaamua kwenda kuvunja makanisa. Je makanisani kuna vitu gani vya thamani vya kuiba kuliko maduka ya jumla mitaani? You have a very poor reasoning ndo maana unajaribu kujustify uhalifu kupitia imani. Unaweza kumdanganya layman kwa maelezo yako na si ha JF. Kwa kifupi jamii yenye uelewa mdogo wa masuala yanayowahusu hupenda kuexternalize matatizo yao ili kujustify hooliganism inayotawala tabia za jamii husika.
 
hapana but generalization alotumia waislam ... si sahihi ....

sababu mimi ni muislam , though siishi mbagala ...

hao ni wahalifu /.. wezi..

sijawahi kuona / kusikia mtu akisema... msambaa/ mchaga/mzaramu aliyevunja duka akamatwa ...

ponda anataka kuandaa maandamano ijumaa ya kuwashinikiza watolewe mahabusu,kwa hiyo Ponda wenu ana andamana kuwakomboa wahuni/wezi kama unavosema hapo juu??acha unafiki.
 
ponda anataka kuandaa maandamano ijumaa ya kuwashinikiza watolewe mahabusu,kwa hiyo Ponda wenu ana andamana kuwakomboa wahuni/wezi kama unavosema hapo juu??acha unafiki.

mbona tunalazimishana jamani.. seems ur soo disappointed njiwa leo hamuungi mkono ponda kwa hili... msimamo utabaki palepale.. hao wezi waliopatikana na hivo vitu ni wahalifu .. usinilazimishe kusema ni waislam .. hakuna muislam aliyeshiba dini yake na akachukua mali si yake... na kama inchi ingekuwa ya kiislam hukumu yao nadhani unaijua it doesnt matter umemuibia nani
 
mi nashindwa kuwaelewa ndugu zetu...juzi walipovunja makanisa mkasema kuwa wale sio waislamu?kwa hiyo unataka kuniambia kama kweli Ponda ataandaa maandamano kushinikiza watolewe atakua ni kilaza na wote atakao andamana nao??maana watakua ni waislam wanaandamana,kwa nini nyinyi wenye uelewa wa mambo hamkemei hivi vitendo??mara wamesema JK anajipendekeza kwa wakristo kisa katembelea makanisa yalovunjwa..most islam dont know what exactly they want,
 
kwenye msafara wa mamba kenge pia wamo......

tafadhali usimuingize JK hapa tusije tukabadili mada!! JK had nothing to do na either side ... muache rais wangu amalize kipindi chake kwa amani kwani kazi kubwa anaifanyia hili taifa .. ile watu wajifanya vipofu .. msimuingize katika migogoro ya kidini
 
[/QUOT]

Purity starts here (Quran 24:26)
My loyalty is to reason,and as a reasonable person I reserve the right to change my mind when presented with new information that alters my perspective" Njiwa"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯
 
Zile vurugu ilikuwa namna ya watu kukwapua vitu tuu Korani imetumika kama kisingizio tuu
 
muhalifu ni muhalifu tu,awe muislamu mkristio au mpagani.cha msingi tukemee uhalifu tu.sio kusema waislam waiba kompyuta au waktisto.......! sio sahihi.kwa mfano,kuna askofu alikutwa akikandamiza mtoto ndani ya gari maeneo ya mlimani miaka ya nyuma.unadhani ni sahihi kusema wakristo wa......!tuweni waadilifu jamani.

kwa hili ni sahihi kabisa kusema kuwa WAISLAM waiba cos walipoyafanya haya makundi ya waislam yaliwapongeza.
 
Wa2 wenye akili fupi kama ww is alwayz difficult to discuss with but anyway wacha 2wafahamishe kulingana na kilichotokea ni kweli waislamu ndio walioriact the same chance were used by fools and hooligans like u 2 to break and steal some properties which is against Islam, so that does not justify that those thieves were muslims because muslims are the one who made the reaction. But this is 4 only those who use their mind rationally.

hivi kesho Ponda akiitisha maandamano kuwatoa hao ambao wewe unasema ni fools and holigans basi utaunga tena mkono maandamano..yani kifupi nyinyi hamjui hata pa kusimamia, you roll like the ball.
 
hapo paliko andikwa waislam ni wapi au ndo muendelezo wa chuki zenu?

Hakika we kafiri una matatizo, gazeti lenyewe halijaandika hivyo ndomana umeleta habari nusu ili kuficha ukweli.

Acha kupoteza muda kujaribu kuupaka matope uislam.
Mnatukejeli tupandishe hasira, tukijibu mapigo mnaanza kulialia.

Ndg yangu dah kweli inaiuma xana kuwaona hawa :A S embarassed: wanaojiita wana wakiristo wanaupaka matope uiclamu bila aibuuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom