Watu wanaswa na komputa na meza zilizoporwa kanisa la Mbagala

Status
Not open for further replies.
hapo paliko andikwa waislam ni wapi au ndo muendelezo wa chuki zenu?

Hakika we kafiri una matatizo, gazeti lenyewe halijaandika hivyo ndomana umeleta habari nusu ili kuficha ukweli.

Acha kupoteza muda kujaribu kuupaka matope uislam.
Mnatukejeli tupandishe hasira, tukijibu mapigo mnaanza kulialia.
Hao waliokamatwa ni walewale waislam waliobomoa na kuiba. Unakataa nini wakati shehe wenu aliwapongeza na kuwahimiza waislam sehemu nyingine wabomoe, waibe na kuchoma makanisa??
 
Ponda .. ni binaadamu ana madhaifu yake! si malaika na atakuja kuhukumiwa kama sisi... kuna baadhi ya matukio na harakati anazofanya namsupport sana lakini sio katika swala zima la kuhamasishaji na uvunjaji wa amani na kuchoma makanisa ... au mali za watu

tukio moja tu au harakati mojatu anayoendesha ponda na wewe unamsupport ni ipi?
 
hapo paliko andikwa waislam ni wapi au ndo muendelezo wa chuki zenu?

Hakika we kafiri una matatizo, gazeti lenyewe halijaandika hivyo ndomana umeleta habari nusu ili kuficha ukweli.

Acha kupoteza muda kujaribu kuupaka matope uislam.
Mnatukejeli tupandishe hasira, tukijibu mapigo mnaanza kulialia.

ulikumo kwenye wizi wa vitu makanisani mbona jazba kihivo?
 
Not that i judge them, but until further notice hao walioiba wataitwa/kihisiwa ni waislamu kutokana na mazingira ya tukio la vurugu.
Na huyo mtoto aliyekojolea kuran ni mkristo kwa jina au ni mkristo kwa kigezo kipi? Tatizo wenzetu hawa shule jamani nawapongeza sana wakristo kwa uvumilivu na utulivu mlio nao hii ni mara ya ngapi sasa makanisa yanachomwa na hawa jamaa zetu kwa fikra zao duni...hivi unafikiri wakristo wakicharuka hapa jamani patatosha?? Tuilinde amani tulio nayo ndugu zangu hawa wenzetu wanahitaji kusaidiwa sana tuachane nao...
 
Kwani misikitini hawana compyuta? au wali zi-mind siku nyingi wakidhani ni TV?
 
Hawa wakipigwa miaka mitano kila mmoja itakuwa fundisho

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
swala zima la sensa....

Pamoja na sababu zake za kwa nini kipengele cha dini ilibidi kiwepo kwenye dodoso?
Pamoja na kushawishi watu kugomea sensa kisha yeye kukubali haraka sana alipotembelewa na maofisa wa sensa (ili asikumbane na mkono wa dola?
 
ni wahalifu sio waislam.. mbona mi sijakamatwa

makafiri wanamatatizo sana.
Mbona alivyo shtakiwa muhando wa tanesco, mramba, yona au kweka walivyoshtakiwa kwa ubadirifu hawakusema wakristo wakamatwa kwa ufisadi?

Mnawachokoza waislam, wakijibu mapigo mnalalamika.
 
Jf ni sawa na vyombo vingine vya habari na ni watu wengi wanapitia humu tena wenye elimu. sasa haya mambo ya waislamu na wakristo yanatoka wapi? kwa hili ingefaa kutumia neno watu au binadamu kisha hayo mengine yatakuja baadae kwa maana kinachoanza ni mtu/binadamu kisha hufuata vingine k.m. taifa, rangi, dini elimu n.k. tujifunze simple logic mfano ni sahihi kusema wasukuma ni watanzania lakini watanzania si wasukuma. kwa hiyo wezi walikuwa waislam na si waislamu walikuwa wezi. nawafundisha msiopenda kufikiri tangu sasa muache kutajataja dini au kabila; kuwa specific. jengeni ubinadamu na utanzania; acheni ubaguzi. wasomi wazima mnakuwa wabaguzi!
 
Hivi wewe una matatizo gani? una uhakika gani kuwa waliokamatwa na hivyo vitu ni Waislamu? Watu wengine bwana halafu mkiitwa majina ya ajabu mnakasirika....

'Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa Polisi
Mkoa wa Temeke Kamishina Msaidizi wa Polisi
(ACP) David Misime aliwataja watuhumiwa hao ni
kambi Hajidi, Hamadi Salehe, Shabani Hamisi na Majebele'
 
Hizo computer ziliibiwa baada ya waislam wenye msimamo mkali(feki) kuvamia kanisa na kulivunja na kuiba vitu mbali mbali.. Ila watanyea debe hawa hata kama Rais ni alhaji mwenzao.. Sheria na kanuni haziwezi kupindishwa

sasa kama unajua sheria huwa zinafuata mkondo kelele na lawama zote ulizotoa wiki nzima hii zilikua za nini.
Mue mnaacha double standard bana.
 
wamenaswa wezi wa komputa sio waislam

Hahaaaaaa! Hawa jamaa zetu ni wa ajabu sana, kwenye sensa walishinikiza kipengele cha dini kiingizwe kwenye dodoso Hapa wamehusishwa na vurugu na uhalifu wanajitutumua kuukana UISLAMU na kujiita wahalifu. Yaani ni vigumu sana kuwaelewa hawa watu. Badala ya kujivunia ushujaa wao katika vurugu walizofanya kwa nia "njema" ya kulinda imani yao wanajitenga kwa mbali na kujifanya hawahusiki. Sisi wenzenu tumefundishwa kutetea imani hata ukiwekewa panga shingoni kwani kufa na kuteswa kwa ajili ya kutetea imani ni utakatifu. Kwa ndugu zetu hawa kutetea imani ni kufanya vurugu, mauaji na uporaji, kutesa wengine na wanapokamatwa wanaikana imani yao na uislamu wao na kujiita wahalifu........So amazing!
 
makafiri wanamatatizo sana.
Mbona alivyo shtakiwa muhando wa tanesco, mramba, yona au kweka walivyoshtakiwa kwa ubadirifu hawakusema wakristo wakamatwa kwa ufisadi?

Mnawachokoza waislam, wakijibu mapigo mnalalamika.

Unajua Yona ni dhehebu gani? Mbona kingunge hana dini.. Sasa kama hujui kina mramba hawana dini na kina yona
 
sasa kama unajua sheria huwa zinafuata mkondo kelele na lawama zote ulizotoa wiki nzima hii zilikua za nini.
Mue mnaacha double standard bana.

Hazifuati ipasavyo... Kwa sababu alhaji anawaonea huruma hawa brain washed
 
Hizo computer ziliibiwa baada ya waislam wenye msimamo mkali(feki) kuvamia kanisa na kulivunja na kuiba vitu mbali mbali.. Ila watanyea debe hawa hata kama Rais ni alhaji mwenzao.. Sheria na kanuni haziwezi kupindishwa

sasa kama unajua sheria huwa zinafuata mkondo kelele na lawama zote ulizotoa wiki nzima hii zilikua za nini.
Mue mnaacha double standard bana.
 
Pamoja na sababu zake za kwa nini kipengele cha dini ilibidi kiwepo kwenye dodoso?
Pamoja na kushawishi watu kugomea sensa kisha yeye kukubali haraka sana alipotembelewa na maofisa wa sensa (ili asikumbane na mkono wa dola?

kitendo cha yeye kwenda kwenye radio na kupinga waziwazi hakuhesibiwa niliridhika nazo na si hilo tu! harakati anazofanya kupigania mali za waislam zinazouzwa na bakwata pia na support ... kwa mimi ku support harakati hizo haina maana nimekuwa 100% mfuasi wa ponda kwamba kila analosema ni sahihi ikiwa hili la kuchoma makanisa... mi mfusi wangu ni mtume wangu tu! SWA

wakati nipo Al Muntazir School - Wikipedia, the free encyclopedia tulikuwa na mwalimu wa dini wa kutoka iran nakumbuka tukiwa majlis one day aliongea maneno ambayo mpaka leo hii ndio msimamo wangu alituambia -

itafika kipindi uislam utagawanyika, wengine wataingiza siasa, wengine maslahi yao binafsi wengine wata tafsiri ayats watakavyo na kuzigeuza geuza ili kupata tafsri wanayoitaka wao .. basi ikifika hiko kipindi mtume amesema nenda chini ya mti kumbatia quran ndio iwe muongozo wako ...

so whatever hawa viongozi wa dini wanachozungumza me nitaangalia quran kwanza je inakubaliana na hayo maneno yao .. ponda sio mtume wala sio mungu ...

end of the day mimi njiwa I'm just a sinner, trying reallyyyyyyyyy hard, struggling each & every single day trying to get through this thing called 'life'...

May Allah Subhana Wa'Tala guide us ALL to the right path In'Sha'Allah Ameen

Hivi wewe una matatizo gani? una uhakika gani kuwa waliokamatwa na hivyo vitu ni Waislamu? Watu wengine bwana halafu mkiitwa majina ya ajabu mnakasirika....

hawa makafiri ni kuwapuuza tu, hawana maana.
Wanachokoza halafu wakijibiwa wanaanza kulia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom