Watu wanaswa na komputa na meza zilizoporwa kanisa la Mbagala

Status
Not open for further replies.
Mkuu acha hasira ila kipindi hiki watakoma hawa wahuni waliojiita waislamu kumbe vibaka wenye njaa kali. Maombi tu mbele za Mungu yatawaonyesha yupi ni Mungu wa kweli.

Sijamaanisha wanyongwe kama kunyongwa maana yangu ni kuwa wanatakiwa kubadilika..serious.
 
Mkuu njiwa kwanza rejea vurugu za Mbagala zilianzishwa na nani na kwasababu gani ?.Kwa upande wangu heading ya thread imekaa vizuri.Mwanzisha mada angeandika wezi wakamatwa na computer na meza za usharika wa Mbagala KKKT ingekuwa vigumu kuunganisha tukio la uchomaji moto makanisa na uharibifu wa thamani mbali mbali.

hapana mkuu

1 ) sio kila muislam ali support zile vurugu toka zina anza binafsi niliongea wazi sijafurahishwa

2) angeandika " wezi" wamekamwatwa .. na kwenye content nipo angeunganisha na lile tukio ingekuwa sahihi zaidi.. alafu kuhusu kukemeo lile tukio mbona shekh wa DSM alishatoa tamko na kulaani zile vurugu !..

hao ni wahalifu sawasawa na kuona al shabab, taliban wakifanya vurugu na kuua watu wasio na hatia na kudai jihadi while they are fighting for their own cause ..

unkumbuka lile tukio la yule bint wa miaka 14 tu malala yusuph wa kipakistan aliyepigwa risasi ya kichwa na taliban simply kwa kusema "watoto wa kike wanafaa kwenda shule .." binafsi lile tukio liliniuma sana .. 1st i don't consider taliban as muslims .... mimi nipo katika medical field siishi tanzania aim doing my residency mbelembele huku .. i care about life & my religion cares about life and peace , nina marafiki wa nchi mbalimbali wakiwepo wa pakistani ilibidi niwapigie rafiki zangu wa kipakistan walio LAHORE tukawa kwenye skype baada ya salamu nikaanza kuwauliza maoni yao kuhusu lile tukio na maoni yao kuhusu taliban walinijibu hivi -

1 ) coz they r bloody cowards & besides i dn't consider d Talibans as Muslims coz no Muslim cn do such kind of cowardly act... just go thru the Taliban history both in Pakl & Afghanistan, dn u'll cum to knw d real face of Taliban.

2)aim sad with the fact that she was just a kid , and they will use the Qur'an to justify for what they did

3)They are just fighting for their cause , nothing to do with Islam
Malala went against them 2 years back i guess . she was nominated for the Nobel peace prize but the f... jury thinks people like OBAMA deserves more for peace prize after bombing so many nations
blank.gif

4) actually this is not jihad to kill innocent people or child like malala .she wrote a dairy 2 year back and was nominated for the nobel peace prize.

5)Malala Yousufzai, speaking in 2009 aged eleven: "I don't mind if I have to sit on the floor at school. All I want is education. And I'm afraid of no one." .. so simply She was shot in the head by talibans for saying she should be able to go to school...

Mkuu point yangu ni kwamba sio kila muislam ni mtu wa vurugu hii kauli ya uwingi sio sahihi
 
Hebu tuwe watulivu, hivi mtu akifanya kosa hawi muumini wa dini yake? Hiyo ni kwa mujibu wa maandiko gani? Mbona Mungu anataka mtu akikosa atubu na kusamehewa, mbona hasemi pale mtu anapofanya kosa sio muumini wake tena? Nadhani hao hata kama ni wezi bado wana haki ya kuitwa kwa dini yao wawe Wakristo au Waislamu, kosa haliwaondolei dini yao. Isipokuwa jambo la msingi ni kwamba kwa kutenda makosa au dhambi hawakutumwa na wala hawawakilishi dini zao au hawafanyi kwa niaba ya dini zao, basi.

Kaka unakosea.. Hili kosa limetendeka kwa niaba ya dini yao ya kiislamu walipokuwa wanalivamia kanisa walikuwa wanasema alah akbaru ..wanawaiga waarabu...
 
mkuu njiwa mbona sheikh Ponda aliwasifia kwenye radio yenu ya kiislamu? Na hili unalizungumziaje? Ama Ponda naye unamfananisha na Taliban?
 
Last edited by a moderator:
....... waliambiana wasusie vifaa na bidhaa za kutoka marekani.. Sasa mimi najiuliza zile laptop ambazo made in USA waliziiba za nini? Ama wanaongea na kusahau hapo hapo"vilaza"

na mie najiuliza, hawa si ndio kila siku wanalia kwamba wako marginalized, wao ni maskini, kama madai yao hayo ni ya kweli sasa kususia bidhaa wakati hata pesa ya kuzinunua hizo bidhaa hawana itakuwaje?
 
Wapelekwe mahakamani hao ni wezi, hawana la kutetea koran wala nini njaa zinawasumbua.
 
wanaswa na na kompyuta, meza za kanisa
Mbagala.
Tuesday, 16 October 2012 08:32 Pamela Chilongola
WATU wanne zaidi wamekamatwa na polisi
wakiwa na kompyuta na meza zilizoporwa katika
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),
Usharika wa Mbagala, Dar es Salaam.Kukamatwa
kwa watu hao kunafanya idadi ya waliokamatwa kutokana na vurugu zilizotokea Ijumaa wiki
iliyopita kufikia 126. Vurugu hizo zilisababishwa na watu wanaodaiwa
kuwa waumini wa dini ya Kiislamu kuvamia Kituo
cha Polisi Maturubai wakitaka wapewe mtoto
aliyedaiwa kudhalilisha kitabu kitakatifu cha Quran
kwa kukojolea.
Source: Mwananchi.
My take: kutokana na umbumbu na shule ndogo na akili za panzi walishindwa kuzitumia zile laptop kwa sababu zilikuwa na Password.

Sikushangai kwani hata uwezo wako wa elimu unaonyesha ni wamashaka...sina hakika kama div O ilikukosa, kama unawezana kusoma habari halafu ukashindwa kuandika hata sentensi moja ya heading inayoonyesha ulichosoma ndani...ni dhahiri ubongo wako ni dhaifu sana nasijui kama shuleni zilikua zinapanda kweli
 
Kaka unakosea.. Hili kosa limetendeka kwa niaba ya dini yao ya kiislamu walipokuwa wanalivamia kanisa walikuwa wanasema alah akbaru ..wanawaiga waarabu...

Saint, hapo sasa unazungumza habari za ulimwengu wa roho. Hapo na mimi nakubaliana na wewe ila kumbuka mtume wao maarifa ya rohoni hakuyajua. Na wao kwa kutokujua wanapelekeshwa na lijamaa adui yetu wakristo na wao bila kujua wanatumika kutimiza mapenzi ya hilo jamaa, wakati lilishapondwa kichwa sasa hivi linatikisa mkia tu.
 
hapana mkuu

1 ) sio kila muislam ali support zile vurugu toka zina anza binafsi niliongea wazi sijafurahishwa

2) angeandika " wezi" wamekamwatwa .. na kwenye content nipo angeunganisha na lile tukio ingekuwa sahihi zaidi.. alafu kuhusu kukemeo lile tukio mbona shekh wa DSM alishatoa tamko na kulaani zile vurugu !..

hao ni wahalifu sawasawa na kuona al shabab, taliban wakifanya vurugu na kuua watu wasio na hatia na kudai jihadi while they are fighting for their own cause ..

unkumbuka lile tukio la yule bint wa miaka 14 tu malala yusuph wa kipakistan aliyepigwa risasi ya kichwa na taliban simply kwa kusema "watoto wa kike wanafaa kwenda shule .." binafsi lile tukio liliniuma sana .. 1st i don't consider taliban as muslims .... mimi nipo katika medical field siishi tanzania aim doing my residency mbelembele huku .. i care about life & my religion cares about life and peace , nina marafiki wa nchi mbalimbali wakiwepo wa pakistani ilibidi niwapigie rafiki zangu wa kipakistan walio LAHORE tukawa kwenye skype baada ya salamu nikaanza kuwauliza maoni yao kuhusu lile tukio na maoni yao kuhusu taliban walinijibu hivi -

1 ) coz they r bloody cowards & besides i dn't consider d Talibans as Muslims coz no Muslim cn do such kind of cowardly act... just go thru the Taliban history both in Pakl & Afghanistan, dn u'll cum to knw d real face of Taliban.

2)aim sad with the fact that she was just a kid , and they will use the Qur'an to justify for what they did

3)They are just fighting for their cause , nothing to do with Islam
Malala went against them 2 years back i guess . she was nominated for the Nobel peace prize but the f... jury thinks people like OBAMA deserves more for peace prize after bombing so many nations
blank.gif

4) actually this is not jihad to kill innocent people or child like malala .she wrote a dairy 2 year back and was nominated for the nobel peace prize.

5)Malala Yousufzai, speaking in 2009 aged eleven: "I don't mind if I have to sit on the floor at school. All I want is education. And I'm afraid of no one." .. so simply She was shot in the head by talibans for saying she should be able to go to school...

Mkuu point yangu ni kwamba sio kila muislam ni mtu wa vurugu hii kauli ya uwingi sio sahihi

POINT MKUU!
U R A GREAt thinker
 
Sikushangai kwani hata uwezo wako wa elimu unaonyesha ni wamashaka...sina hakika kama div O ilikukosa, kama unawezana kusoma habari halafu ukashindwa kuandika hata sentensi moja ya heading inayoonyesha ulichosoma ndani...ni dhahiri ubongo wako ni dhaifu sana nasijui kama shuleni zilikua zinapanda kweli

Who got div 0 dude!!!! i dont see relationship between rat & quran&church and my school result. by the way i got div I in o level and a level. What about you?
 
Dah hawana shule,hawapendi,wamekalia kunywa kahawa na kucheza bao,wavivu kufanya kazi,muda wote wanalialia maisha magumu,eti wanapendelewa,wameamua kuwa wizi
 
mkuu njiwa mbona sheikh Ponda aliwasifia kwenye radio yenu ya kiislamu? Na hili unalizungumziaje? Ama Ponda naye unamfananisha na Taliban?

Ponda .. ni binaadamu ana madhaifu yake! si malaika na atakuja kuhukumiwa kama sisi... kuna baadhi ya matukio na harakati anazofanya namsupport sana lakini sio katika swala zima la kuhamasishaji na uvunjaji wa amani na kuchoma makanisa ... au mali za watu

Dah hawana shule,hawapendi,wamekalia kunywa kahawa na kucheza bao,wavivu kufanya kazi,muda wote wanalialia maisha magumu,eti wanapendelewa,wameamua kuwa wizi

Wanatafuta short cut.
 
na bado hiyo ni rasha rasha na waliochana bible wataipatawanachezea Mungu ambaye hawajawahi kumwona, wataipata.
 
Ponda .. ni binaadamu ana madhaifu yake! si malaika na atakuja kuhukumiwa kama sisi... kuna baadhi ya matukio na harakati anazofanya namsupport sana lakini sio katika swala zima la kuhamasishaji na uvunjaji wa amani na kuchoma makanisa ... au mali za watu

njiwa nimekuelewa and i am so sorry for you.
 
Last edited by a moderator:
na bado hiyo ni rasha rasha na waliochana bible wataipatawanachezea Mungu ambaye hawajawahi kumwona, wataipata.

Waliingia kwenye ofisi ya mchungaji wakachana chana bible na kuiba sadaka na isitoshe wakachoma madhabahu.. OMG.. MUngu wasamehe.
 
wanaswa na na kompyuta, meza za kanisa
Mbagala.
Tuesday, 16 October 2012 08:32 Pamela Chilongola
WATU wanne zaidi wamekamatwa na polisi
wakiwa na kompyuta na meza zilizoporwa katika
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),
Usharika wa Mbagala, Dar es Salaam.Kukamatwa
kwa watu hao kunafanya idadi ya waliokamatwa kutokana na vurugu zilizotokea Ijumaa wiki
iliyopita kufikia 126. Vurugu hizo zilisababishwa na watu wanaodaiwa
kuwa waumini wa dini ya Kiislamu kuvamia Kituo
cha Polisi Maturubai wakitaka wapewe mtoto
aliyedaiwa kudhalilisha kitabu kitakatifu cha Quran
kwa kukojolea.
Source: Mwananchi.
My take: kutokana na umbumbu na shule ndogo na akili za panzi walishindwa kuzitumia zile laptop kwa sababu zilikuwa na Password.

Hivi wewe una matatizo gani? una uhakika gani kuwa waliokamatwa na hivyo vitu ni Waislamu? Watu wengine bwana halafu mkiitwa majina ya ajabu mnakasirika....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom