Watu wanaosadikika kuwa ni al shabaabu washambulia kaskazin mwa kenya na kujeruhi

FAU86

Member
Apr 19, 2013
63
15
Baada ya kitambo Fulani cha ukimya na ishara ya kurejea kwa aman nchini Kenya hatimae kwalipuka upya

Mauaji kadhaa yametokea nchini Kenya katika vipindi tofauti tofauti na kuua mamia ya watu wasio na hatua katika kipindi cha nyuma likiwemo tukio LA galisa mashariki mwa nchi hyo

Hii Leo tena kwa Mara nyingne shambulio linalosadikika kufanywa na alshaabab limetokea kaskazini mwa nchi hyo likijeruhi ofisa mmoja wa polis na RAIA kadhaa

Mashambulio hayo ni mwendelezo wa kile kinachodaiwa kuwa ni mwingiliano wa kisiasa usiojali maslah ya nchi nyingne

Wito wangu kwa pande zote zinazohasimiana zikae mezani zitafute mwafaka kwa ustawi wa RAIA wasio na hatia yeyote

Source; BBC SWAHILI Habari
 
Back
Top Bottom