Dingswayo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 4,019
- 2,925
Nimekuwa nikiangalia ITV taarifa za habari, karibu kila siku naona taarifa za watu waliopotea. Watu hawa huwa ni watoto na watu wazima. Je kuna taarifa zozote kuwa hawa watu wamepatikana? Hawa huwa wanapatwa na mikasa gani? Serikali inafanya nini kufuattilia tatizo hili?