salams
nina ndugu yangu huwa akiingia chooni kuchukua muda wa nusu saa hadi lisaa limoja. si kwa haja ndogo, kubwa au kuoga, muda wowote akiingia huchua muda huo.
najua usafi kwa mwislam unaanzia chooni lakini kwa hali hii naona unapitiliza, nashindwa kumuuliza anafanya nini muda wote huo na labda kama kuna tatizo la kisaikolojia la kupenda tu kukaa chooni muda mrefu hivi. naomba ufafanuzi kwa wenye elimu juu ya hilo. majibu wa kihuni sitarajii kama vile pu....**%$#@...o sidhani kuwa ni sahihi