Watu wanaongoza humu JF kwa wingi wa posts zao... Wewe unadhani nani anaongoza kwa...

Kuna zawadi kwa mshindi? Au tunapotezeana muda tu?

Ntawasiliana na Invisible waangalie namna ya kunisaidia kufast track process za C&F, container la zawadi liko bandarini mwezi wa pili sasa!
 
Lizzy you are my mentor kwa kweli...
Ingawa si wewe peke yako..
Please respond.. Walau kwa namba nyingine,kama 1,na 6...
Ahsante ila bado hujajibu kama kuna zawadi au la.

Nwy no. 1 Sijui kwasababu sifuatilii watu.
No. 2 Wengi!!
No. 3 Sijui. . . heheheh
No. 4 Wapo kadhaa kwenye majukwaa tofauti tofauti. Majina sijakariri. . .sorry!!
No. 5 Wale wasiopenda sana wageni. . . sina majina.
No. 6 HAMNA!!
 
invisible bado kashikilia namba 2 na 4. hamna wa kumtoa hapo. mzee mwanakijiji kakomaa na namba nne.
 
Ahsante ila bado hujajibu kama kuna zawadi au la.

Nwy no. 1 Sijui kwasababu sifuatilii watu.
No. 2 Wengi!!
No. 3 Sijui. . . heheheh
No. 4 Wapo kadhaa kwenye majukwaa tofauti tofauti. Majina sijakariri. . .sorry!!
No. 5 Wale wasiopenda sana wageni. . . sina majina.
No. 6 HAMNA!!

nimejibu hapo juu suala la zawadi Lizzy...
Hii thread ilikuwa ije miezi mitatu iliyopita... Nway soma post yangu hapo juu..
 
popobawa na lizzy wanaongoz kwa dharau na mada ndefu, pididy, mtambuzi na lizzy wengne hairuhusiw kutaja
 
Nimeona baada ya kupost. . .ngoja tusubirie washindi sasa.

Ila zawadi si kwa wanaojibu...la hasha.. Bali ni kwa wale watakaotajwa na wengi...
Kama fulani anaongoza category gani,mwingine ipi,wengine wanakimbiza hadi category zaidi ya moja,n.k.
 
Ila zawadi si kwa wanaojibu...la hasha.. Bali ni kwa wale watakaotajwa na wengi...
Kama fulani anaongoza category gani,mwingine ipi,wengine wanakimbiza hadi category zaidi ya moja,n.k.

Kwani mimi nilisema ni kwa wanaojibu?
Wanaoshindanishwa ndio wanaopewa zawadi na sio wanaochagua washindi. . . sidhani kama kuna asiyejua hilo!
 
Kwani mimi nilisema ni kwa wanaojibu?
Wanaoshindanishwa ndio wanaopewa zawadi na sio wanaochagua washindi. . . sidhani kama kuna asiyejua hilo!

yeah....
Ila mi nataka nikunominate kwenye category namba fulani,ingawa umekuwa nominated already kwenye category tofauti..
Waonaje Lizzy,vigezo na masharti havinibani kama mtoa thread..
 
Lizzy kama sura unazo kama 100,kila nikiangalia post zako sielew.
Una miaka mingap!
Nijib plz ata ni PM.
 
yeah....
Ila mi nataka nikunominate kwenye category namba fulani,ingawa umekuwa nominated already kwenye category tofauti..
Waonaje Lizzy,vigezo na masharti havinibani kama mtoa thread..

Sitaki kushiriki ila kama inanihusu sina ujanja. . . niweke tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom