Watu wanaokukera hapa JF na watu wanaokufurahisha hapa JF

Wee jifanye umetufunika, kumbe vile umewataja kiaina eeenh?

Wewe hujatajwa mbona unajikomba? Huna umaarufu hata wa kuitwa taahira sasa mbona unajipeleka mbele?
Ahaaa! Kumbe ww unayekemewa mapepo kila siku ndiye mwenye hekima. Ama kweli akili mbofu mbofu sana za mtu ambaye hajui, halafu hajui kama hajui! Pole sana!

Ona unavyotapatapa kutafuta umaarufu, mimi sio zaizi yako linapokuja suala la kufikiri. Akili mbovu ni hizi za kujipendekeza kwenye orodha ambayo haumo. Yaani uko radhi kuwa chizi ili mradi tu uwe chizi
 
Happy new year guys.lazima kuna watu wanakukera hapa JF na wanaokufurahisha hapa JF wataje bila aibuuuu. :exception: naomba usiwataje hawa marafiki zangu hawa na Mola awape UZIMA,usiwataje ..REJAO,MALARIA SUGU,RITZ,FAIZA fOXY wengine wamwage bila aibu.unajua kwa nini nawaombea mola awape uzima?

Hao vipenzi vya wengi wala sio peke yako.
 
Wewe hujatajwa mbona unajikomba? Huna umaarufu hata wa kuitwa taahira sasa mbona unajipeleka mbele?

Ona unavyotapatapa kutafuta umaarufu, mimi sio zaizi yako linapokuja suala la kufikiri. Akili mbovu ni hizi za kujipendekeza kwenye orodha ambayo haumo. Yaani uko radhi kuwa chizi ili mradi tu uwe chizi
Wee ni mpuuzi na unafaa kupuuzwa. Endelea kuwa hujui na hujui kuwa hujui!
 
Hapi nyu yia Ivuga...
Nashukuru sana kwa kutambua hilo na kudiriki kabisa kunitaja kwenye post yako ya msingi. Najua unapokereka..cha muhimu usiende kule ili nisiendelee kukukera
 
asanteni sana kwa kuchangia thread ...ndio nazinduka maana ..mh
 
KATUNI(601).jpg
 
Back
Top Bottom