Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,446
- 1,812
Noted
TanguliaWatanzania tuungane tupinge uonevu huu ata kwa kuandamana!
Mchungaji alikuwa jasiri akaenda Polisi mapema kuitukia mwito, kabla ya siku aliyoambiwa. Pia alisema mwenyewe kuwa baada ya kusikia habari ya kuitakiwa kuripoti Polisi, akikatisha safari zake za kuhubiri.Wanaenda kuchukua ushahidi wa zero za bashite...natumaini mchungaji kazitunza mahala salama..
Umewahi kupata zero?!? Nenda baraza utapewa...ukifika waambie "nimepata zero" utaona wataakachokupa...halafu urudi hapa..Wewe umeishia la ngapi? tangu lini ukipata zero unapata cheti? mchungaji wenu anawadanganya nyie , sijawai kuona.
ID ipi tena mkuuLeo ile ID yako umeiweka likizo kwa muda?
Una akili za k.j.i.n.g.a sana wewe, yaan akili yako inafanana na DP yako. Nywanoko neyo!!Atupe maelezo ya hivyo vyeti aache sanaa!
Mimi apa napima uzani wa mkungu wake.anapata wapi mtu huyu hii power?kuna.mkuu wa mkoa ana.power kias hiki?nani yupo nyuma.yake?
Mimi Mange apost na Warumi akazie ndio nitaamini!japokuwa warumi mvivu kwenye siasa!Mange kama hajapost sitaiamini hii taarifa
Kwani wewe ni nani na nani huwa anakuhuliza ukiwa unaleta umbea wako'?weee nani kakuambia hayo?
duu!!! we jamaa umenifanya nicheke bila sababuUna akili za k.j.i.n.g.a sana wewe, yaan akili yako inafanana na DP yako. Nywanoko neyo!!
watakutafuta MkuuHa ha ha haaaa... Wanataka kuchukua vile vyeti vya Bashite! Ujingaje! Hivi wanadhani kwa akili ya kawaida vitakua hapo ndani? Hata kama vipo wanadhani hajapiga copy? Tunajua na maelekezo kutoka juu ila wanakurupuka sana, hata mini nawazidi technics za kiintelijinsia jamani?