Watu Wanane Wafariki Papo Hapo-Mkoani Mwanza

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
GreatThinkers,
Taarifa hii ni inasikitisha sana,
Basi lijulikanalo kama Simiyu liktokea Nyegezi stand Kwenda Dar (Mwendo kama wa 1km tokea stand) limegonga Hiace kuua watu wote ktk ile Hiace na hakuna aliyetoka maana limeilalia kabisa.
Konda,Dereva,Baadhi ya wafanyakazi waliokuwa wanaenda kazini wamekufa wote.
Eneo hili kwa mwaka jana tu limeua wengi huku likihusisha ajali kama ya Basi la Prince Muro, AM Coach, na Mohamed Bus ni hapo hapo.

Hili basi lilikuwa linaovateki lakini pia kuna Kona huku kukiwa na mteremko,pembeni kuna mitaro na ndiyo kitu kinachosumbua hapa.
Kinachonishangaza mm nikuwa sie Watanzania kila kitu tumekuwa nyuma, hivi tatizo liko wapi bara bara kupanuliwa hata ziwe mbili kila upande kwenye jiji kubwa kama hili?????????????????????
-Tumeshindwa na Uganda? Mfano Jinja yenyewe sasa barabara pana Underconstruction yenye njia Sita, tatu huku tatu kule???
-Kuna barabara kubwa yenye njia hadi nne kila upande Kampala to Entebe muda huu underconstruction.
Tunashindwa nn?
-Ni lazima tuache siasa hapa, Magufuli Kaka yangu, Bado sijaona kama unabisha tembelea Nairobi na ukitakuchanganyikiwa zaidi nenda Addis Ababa. Acheni Siasa jamani Big result now ni kauli mbiu tu, Utekelezaji wa Big Result unafanyika Kenya kwa kuanza reli kubwa na ya kisasa toka Mombasa hadi Kigali.
Imenisiktisha sana ndgu zangu
 
Mbona kila kitu kenya? Unaweza kuta wewe mweyewe ndiye unayechangia kwa kiasi kikubwa kurudisha maendeleo ya serikali nyuma kwa kutokulipa kodi. Ebu fikiri ni marangapi umechangia kuikosesha serikali kodi,au kuharibu miundombinu ya serikali kwa kutupa taka hovyo au kwa njia yoyote ile. Yatosha sasa kuilaumu serikali,niwakati wa kufanya yale yatuhusuyo sisi wananchi kwa sehemu yetu na serikali kwa sehemu yao alafu evaluation ya big result itakuja fanyika kwa njia ya sanduku la kura. KUWA MMOJAWAPO WA MAPINDUZI CHANYA KWA TAIFA LA TANZANIA. MUNGU IBARIKI AFRICA,MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Ebana mkuu umesema kweli hapa mwanza barabara kama njia za kwendea msalani ya vyeembamba kwanza mixer madereva makanjanja kibao...polen marehem wote
 
GreatThinkers,
Taarifa hii ni inasikitisha sana,
Basi lijulikanalo kama Simiyu liktokea Nyegezi stand Kwenda Dar (Mwendo kama wa 1km tokea stand) limegonga Hiace kuua watu wote ktk ile Hiace na hakuna aliyetoka maana limeilalia kabisa.
Konda,Dereva,Baadhi ya wafanyakazi waliokuwa wanaenda kazini wamekufa wote.
Eneo hili kwa mwaka jana tu limeua wengi huku likihusisha ajali kama ya Basi la Prince Muro, AM Coach, na Mohamed Bus ni hapo hapo.

Hili basi lilikuwa linaovateki lakini pia kuna Kona huku kukiwa na mteremko,pembeni kuna mitaro na ndiyo kitu kinachosumbua hapa.
Kinachonishangaza mm nikuwa sie Watanzania kila kitu tumekuwa nyuma, hivi tatizo liko wapi bara bara kupanuliwa hata ziwe mbili kila upande kwenye jiji kubwa kama hili?????????????????????
-Tumeshindwa na Uganda? Mfano Jinja yenyewe sasa barabara pana Underconstruction yenye njia Sita, tatu huku tatu kule???
-Kuna barabara kubwa yenye njia hadi nne kila upande Kampala to Entebe muda huu underconstruction.
Tunashindwa nn?
-Ni lazima tuache siasa hapa, Magufuli Kaka yangu, Bado sijaona kama unabisha tembelea Nairobi na ukitakuchanganyikiwa zaidi nenda Addis Ababa. Acheni Siasa jamani Big result now ni kauli mbiu tu, Utekelezaji wa Big Result unafanyika Kenya kwa kuanza reli kubwa na ya kisasa toka Mombasa hadi Kigali.
Imenisiktisha sana ndgu zangu

Ndiyo maana ninachukia siasa na wanasiasa, ni unafiki mtupu! Inasikitisha sana!
 
Nchi hii panapojengwa vizuri ni Dar es salaam tu,, miji mingine barabara njia moja tu zinatutosha..

Viongozi wanaipendelea Dar es salaam kama wao wamezaliwa Dar kumbe sitimbi huko
 
Nimeiona Hiace iliyohusika kwenye tukio hilo kinachoonekana ni chasis tu, kama ndani ya hiace kuna aliyekuwepo na amepona Mungu yu Upande wake. Poleni sana wahanga

GreatThinkers,
Taarifa hii ni inasikitisha sana,
Basi lijulikanalo kama Simiyu liktokea Nyegezi stand Kwenda Dar (Mwendo kama wa 1km tokea stand) limegonga Hiace kuua watu wote ktk ile Hiace na hakuna aliyetoka maana limeilalia kabisa.
Konda,Dereva,Baadhi ya wafanyakazi waliokuwa wanaenda kazini wamekufa wote.
Eneo hili kwa mwaka jana tu limeua wengi huku likihusisha ajali kama ya Basi la Prince Muro, AM Coach, na Mohamed Bus ni hapo hapo.

Hili basi lilikuwa linaovateki lakini pia kuna Kona huku kukiwa na mteremko,pembeni kuna mitaro na ndiyo kitu kinachosumbua hapa.
Kinachonishangaza mm nikuwa sie Watanzania kila kitu tumekuwa nyuma, hivi tatizo liko wapi bara bara kupanuliwa hata ziwe mbili kila upande kwenye jiji kubwa kama hili?????????????????????
-Tumeshindwa na Uganda? Mfano Jinja yenyewe sasa barabara pana Underconstruction yenye njia Sita, tatu huku tatu kule???
-Kuna barabara kubwa yenye njia hadi nne kila upande Kampala to Entebe muda huu underconstruction.
Tunashindwa nn?
-Ni lazima tuache siasa hapa, Magufuli Kaka yangu, Bado sijaona kama unabisha tembelea Nairobi na ukitakuchanganyikiwa zaidi nenda Addis Ababa. Acheni Siasa jamani Big result now ni kauli mbiu tu, Utekelezaji wa Big Result unafanyika Kenya kwa kuanza reli kubwa na ya kisasa toka Mombasa hadi Kigali.
Imenisiktisha sana ndgu zangu
 
Jamani thread hii inasikitisha ila wachangiaji mnapoteza ''subject matter'' kwa hiyo tuseme kwamba basi limetoa roho za Watanzania 8 wasio na hatia kwa sababu barabara ni nyembamba? ajali imetokea eneo linaitwa msituni karibu na sheli ya Olympik....kweli njia hii ni nyembamba na kuna kona kali, kuna alama ya mkolezo inayozuia driver asiovertake, kuna mteremko...lakini yote haya driver wa bus hakuyaona??????? hili basi lilipita kwa kasi maeneo ya mkolani nikastushwa na mwendo wake na hakika driver amekuwa mzembe na sidhani kama alikuwa driver, huyo atakuwa konda anafanya mazoezi.
 
Ni Buhongwa ama wapi? Maana kona ya Mkolani-Buhongwa ndipo mabasi hupindukia, na kipande cha Buhongwa-Mkolani hakuna matuta basi ni balaa tupu hata kwa watoto na school bus asubuhi.

Madereva hawaaaa..??
 
Mbona kila kitu kenya? Unaweza kuta wewe mweyewe ndiye unayechangia kwa kiasi kikubwa kurudisha maendeleo ya serikali nyuma kwa kutokulipa kodi. Ebu fikiri ni marangapi umechangia kuikosesha serikali kodi,au kuharibu miundombinu ya serikali kwa kutupa taka hovyo au kwa njia yoyote ile. Yatosha sasa kuilaumu serikali,niwakati wa kufanya yale yatuhusuyo sisi wananchi kwa sehemu yetu na serikali kwa sehemu yao alafu evaluation ya big result itakuja fanyika kwa njia ya sanduku la kura. KUWA MMOJAWAPO WA MAPINDUZI CHANYA KWA TAIFA LA TANZANIA. MUNGU IBARIKI AFRICA,MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Acha kuongea kama kichaa, au unatetea ujinga wa viongozi waliooza kwa rushwa, watu wanaajigamba kwenye majukwaa tu lakini hakuna wanachokifanya, barabara za Tanzania ni OVYO SANA, kwanzaa zimejengwa kwa viwango vya chini sana, kwakuwa wameiba pesa na wanajua zitaharibika wakaona ili wasijulikane wakaweka mizani kila kona ya nchi. barabara za mijini zote hazina njia ya pikipiki, njia ya baiskeli, njia ya watembea kwa miguu, madaraja ya juu ya kuvukia watu, madarajaya chini ya kuvukia vilema, badala yake wanaweka zebra barabara za Tanzania ni ovyo
 
Nimeisikia hii ajali
Poleni wote mliojeruhiwa katka ajali hii
RIP wote mliopoteza maisha
 
ndumi dume we mjinga nini? umeshatembelea jiji la Nairobi? uliza Nairobi-Thika supper high way inapita katikati ya jiji juu kwa juu, siku izi hakuna foleni. Kenya ni reference nzuri kwani hata madini na rasilimali zingine hawana ila kimaendeleo wako mwake! tembea uone, punguza kula kuku wa mitumba manzese.......shenzi weeeee........
 
Wana jukwaa,
Ni kweli ajali imetokea,lakini kamanda wa polisi mkoa wa mwanza Ernest Mangu amethibitisha kuwa ni mtu mmoja ndiye aliyefariki na wengine saba wamejeruhiwa na wote walikuwa ni abiria wa Hiace iliyokuwa ikitoka Misungwi kwenda Mwanza.

Aidha anasema dereva wa basi la simiyu amekimbia baada ya ajali na kwamba jeshi hilo linaendelea kumtafuta.

Tuwaombee majeruhi wapone kwa kuwa anasema hali zao sio mbaya,na pia Mungu ampokee mwenzetu aliyepoteza maisha.
 
poleni xana.mlio patwa na msiba lakin serikali inabidi kuongeza usanifu isibweteke hadi tatizo kutokea ndio kuona umuhimu wa kutatua tatizo kinga ni bora zaidi ya tiba.
 
Back
Top Bottom