spencer
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 3,599
- 3,220
GreatThinkers,
Taarifa hii ni inasikitisha sana,
Basi lijulikanalo kama Simiyu liktokea Nyegezi stand Kwenda Dar (Mwendo kama wa 1km tokea stand) limegonga Hiace kuua watu wote ktk ile Hiace na hakuna aliyetoka maana limeilalia kabisa.
Konda,Dereva,Baadhi ya wafanyakazi waliokuwa wanaenda kazini wamekufa wote.
Eneo hili kwa mwaka jana tu limeua wengi huku likihusisha ajali kama ya Basi la Prince Muro, AM Coach, na Mohamed Bus ni hapo hapo.
Hili basi lilikuwa linaovateki lakini pia kuna Kona huku kukiwa na mteremko,pembeni kuna mitaro na ndiyo kitu kinachosumbua hapa.
Kinachonishangaza mm nikuwa sie Watanzania kila kitu tumekuwa nyuma, hivi tatizo liko wapi bara bara kupanuliwa hata ziwe mbili kila upande kwenye jiji kubwa kama hili?????????????????????
-Tumeshindwa na Uganda? Mfano Jinja yenyewe sasa barabara pana Underconstruction yenye njia Sita, tatu huku tatu kule???
-Kuna barabara kubwa yenye njia hadi nne kila upande Kampala to Entebe muda huu underconstruction.
Tunashindwa nn?
-Ni lazima tuache siasa hapa, Magufuli Kaka yangu, Bado sijaona kama unabisha tembelea Nairobi na ukitakuchanganyikiwa zaidi nenda Addis Ababa. Acheni Siasa jamani Big result now ni kauli mbiu tu, Utekelezaji wa Big Result unafanyika Kenya kwa kuanza reli kubwa na ya kisasa toka Mombasa hadi Kigali.
Imenisiktisha sana ndgu zangu